Ili uchumi ukue, tukubali Rais aongezewe muda hata miaka 20 Ili amalizie miradi yake yote

Simple....ni kubadlisha katiba period. Unaweza weka ukomo au la.
 
Rais wako pia ni Mwenyekiti wa chama. Mwambie akae na wenzake huko chamani, mawazo , mipango yake, iwe ni ya chama chake kwa muda huo unaoupendekeza au hata zaidi.
Tunaweza kweli tukamwongezea muda, ila aliyemuumba akaamua kuupunguza, hakuna lolote lililo katika mpango mkakati kimaandishi, itakuwa ni kupoteza muda.
 
Nakuunga mkono 100%
 
Uliyeandika huu uzi kama bado u kijana siku ukizeeka utakuwa mchawi
 
[emoji3581][emoji736]
 
Kweli kabisa haya mambo ya terms limits tungehamishia kwa wake zetu, sio nchi. Lakn iwapo na iwapo tu maendeleo yanakuwa dhahiri
 
Itakuwaje kama Mungu akilichukua Jiwe lake kabla ya hiyo miaka 20..... ?! Nadhani hoja yako haina mashiko, wacha tu, tuishushie na Juice ya Mango
 
Marekani haijaendelea???
Nilitegemea kusikia uksema, ili uchum ukue
01.inabd tuwe na vipaumbele vya nchi
02.rais apunguziwe madarak
03.miak ya kukaa madarakan ipungue adi 3-4 kwa ungwe moj
04.madaraka makubwa wapewe wananch wenyew na kuptia kwa wawakilishi wao
05.rais aweze kuwajbshwa kama atafnya tofaut ba matwak ya katiba ba sheria yoyote ya nchi
 
kwa speed anayoendanayo 10 inamtosha labda kama atamwachia anayekuja naye aombee kula mara utasikia, mkinichagua mim nitamalizia ule mraadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…