Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Akiugua ama kufa je? Kwa nini msimshauri aimarishe mifumo ili muda wake ukifika atakaye mpokea amalizie atakapokuwa ameishia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtapigana na nani?Tutapigana aongoze miaka 20 ili uchumi upae mara dufu mambo ya kubadili sera kila wakati hatutaki kabisa.
Akiugua ama kufa je? Kwa nini msimshauri aimarishe mifumo ili muda wake ukifika atakaye mpokea amalizie atakapokuwa ameishia?
You are very brightAkiugua ama kufa je? Kwa nini msimshauri aimarishe mifumo ili muda wake ukifika atakaye mpokea amalizie atakapokuwa ameishia?
Dh...uhuAkiugua ama kufa je? Kwa nini msimshauri aimarishe mifumo ili muda wake ukifika atakaye mpokea amalizie atakapokuwa ameishia?
Ndivyo mlivyokuwa mkidanganyana😁😁Lazima muda uongezwe ili tupige hatua za kimaendeleo.
Sawa, Samia atakaa miaka kumi na Tano amalizie hiyo miradiHapa leo tuelewane, maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja.
Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli.
Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya barabara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la kuzalisha umeme.
Akikaa na Akatulia Akamaliza kila kitu Alichoanzisha Basi nchi itakua imefika mbali na tutaziacha nchi nyingi za Afrika kimaendeleo.
Wasi Wasi wangu akiingia Rais mwingine ataharibu trend ya Miradi na tutajikuta kila alichoanzisha Rais Magufuli kinasimama na tutaishia hapo hivo tumuunge mkono akae Miaka hiyo 20 ili amalize kila kitu ndio astafu hapo itakua safi tu.
Sawa,tutalifanya Hilo kwa SamiaTutapigana aongoze miaka 20 ili uchumi upae mara dufu mambo ya kubadili sera kila wakati hatutaki kabisa.