Ili uchumi ukue, tukubali Rais aongezewe muda hata miaka 20 Ili amalizie miradi yake yote

Punguani bado tu mnaishi muda wenu umekwisha Dunia sio mahali salama tena kwenu
 
napendekeza huo muda umuongeze aongoze familia yako pekee tu boss...
 
Haya mambo wakati wa JK nilikuwa siyasikii,daaaah....!!! Maskini JK juhudi zake hata kwa uchache wake hazionekani kwa Mr Arovera
 
Sawa, Samia atakaa miaka kumi na Tano amalizie hiyo miradi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…