Ili upigaji uwe rahisi na miradi kutokukamilika na umeme uwe wa mgao, lazima JPM azodolewe kwa sababu nyepesi na za kipuuzi

Unahangaika bure kumtetea mtu mwizi na ambae hakuwa na akili..πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220415-072852.jpg
    122 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220520-171316.jpg
    116.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20220415-140726_1.jpg
    49.3 KB · Views: 2
  • 2306969_FB_IMG_1581695064971.jpg
    27.2 KB · Views: 2
Unahangaika bure kumtetea mtu mwizi na ambae hakuwa na akili..πŸ‘‡
Tuonyesheni basi uunazo wenu Kwa kurahisisha upatikanaji wa huduma Kwa wananchi

Kuvuta umeme mshushe zaidi ya asiyekuwa na akili angalau mtufanyie Tsh 17000

Bei ya vyakula na bidhaa mbalimbali mshushe basi wenye akili ili mmzidi asiyekuwa nazo!

Malizieni basi hizo miradi Kwa pesa nyingi mnazoingiza serikalini!

La sivyo, mambo yake asiyekuwa na akili yatamtetea tuu!
 
Huduma zinapatikana sio tuu Kwa gharama nafuu Bali kwa uhakika zaidi..

Pili Kama umeme ulikuwa 17,000 mbona watz wote wasiingize sasa Kwenye nyumba zao?

Ukweli utabakia kwamba tulikuwa na Rais asiyejielewa Ambae ni WA maana kwa kundi kubwa la wajinga kama wewe mnufaika wa Utawala wake πŸ˜‚πŸ˜‚.

Upuuzi kama huu ndio mlikuwa mnauwezaπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220517-202938.jpg
    49 KB · Views: 1
  • 2022030133155.jpg
    94.8 KB · Views: 1
Dikteta kapotelea mavumbini!
 
Kuandika hapa jukwaani sio kigezo cha kujiondoa kwenye listi ya vilaza na wafoji vyeti

Nimekwambia naninarudia tena, kama unaakili kumzidi unayemsema! Basi onyesheni kwamba mnaweza zaidi yake, yeye umeme aliwaingizia wananchi Kwa 27000 tu, basi nyinyi iwe chini ya hapo!

Alikuwa akiendesha nchi bila tozo, nyinyi werevu mmeweka tozo

Vyakula na bidhaa zilikuwa chini zaidi, werevu hata hili limekushindeni!

Umeme nao nao majanga, lipi sasa lenye kuwafanya wananchi wawaone ni werevu kushinda huyo mjinga?
 
Excuses ya failures ndio hiyo ya kufoji cheti πŸ˜‚πŸ˜‚..

Tulikuwa na Rais mjinga na asiyejua uchumi zaidi ya kuvuruga na kila sekta ili kuficha aibu akawa anasingizia sgr kutoajiri Wala kupandisha salary..

Raise mjinga aliyeshindwa kukuza Kilimo,
Rais mjinga aliyeua sekta binafsi,
Rais mjinga aliyeua real estates na,
Rais Mjinga aliyeharibu Uchumi huku mapato yakopotea na ndio maana alikufa kwa ujinga wake πŸ˜†πŸ˜†..

Hayo yote hapo Juu na mengine mengi ni baadhi tuu ya masuala uanayofanyika bila excuses zozote za kijinga..
 
Ccm inatumia wajinga kusambaza ujinga mitandaoni!

Wewe ni mmoja wao, sikujibu tena pweza Mkubwa wewe
 
"Imaginary problems"
Nimeagiza majenereta ndugu zangu njooni mniunge.

 
Keshakufilia mbali, hutaki mfate Chattle
 
Kosoa Serikali ya sasa bila kumhusisha Magufuli kwa sababu KAFA na hatarudi kugombea

Kuna mapungufu ya hii serikali na lazima ikosolewe lakini sio kwa kumsifia yule shetani mtu
Hilo ndo hawataki.
Yaani kila wakikosoa lazima walitaje na lishatani lao, sijui ndo wanaliabudia!!
 
Huo ndio ukweli kabisa.awamu hii imeoza na imeshindwa kabisa kuongoza kwa akili.miradi mingi inasuasua na ubora wa miradi kwa sasa hauzingatiwi.wamekazana kumtukana jpm ili aonekane alikuwa mbaya kumbe wao ndiyo wabaya wanaifilisi nchi kwa kupeana madili wanayoyafanya wao kama ya kufungulia maji mabawa ya umeme lengo waanze umeme wa IPTL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…