Ili upumue na nuksi zinazoanza Kukuandama sasa Wewe kama Baba na Mwanao Mjeuri fanya yafuatayo


hahahahaha ngoja nikae kimya maana hata wewe "Pure talented, Charismatic feller, Game changer and Entertainer" unaogopa kabisa hata kufungua mabano tena ukipewa ulinzi kabisa na bingwa wa michezo hii aka Mr PK?..

Uchumi wetu unakua kwa zaidi ya 7%, Tunajenga miundo mbinu yetu kwa fedha za ndani, Tunajenga stieggler george, maflyover yakutosha, SGR na train ya umeme, mizigo bandarini kedekede, pato la mtanzania linakuwa kwa kasi sana, Tunamiliki madege ya kutosha, Elimu bure sasa, vituo vya Afya vimezagaa nchi nzima, Barabara za lami kila kona, Tumeshaanza kutoa misaada kwa mataifa masikini kama Malawi, Zimbabwe nk.. TANZANIA INASONGA MBELE SASA ila mabeberu na mawakala wao wanataka kutukwamisha sasa.
 
Mkuu unaniangusha bhana yaani hata Wewe 'Great Thinker ' wa JFni wa Kutomjua Matege Mbanio? Kuna Mtu leo ' alijipendekeza ' katika Banda la Watu wa Sheria na Haki za Binadamu bila Kualikwa pale Viwanja vya Mnazi Mmoja basi ndiyo huyo huyo.
Basi Mkuu nimekusoma
Hahahaha!!!!!
 
Hii fasihi kwenye 'takataka sugu' nimeielewa sana [emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora kubakia anonymous chief.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha unabe, sifa zitakuponza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waswahili husema mzoea vya kunyonga abadan hali vya kuchinja. Kila uliloshauri linamantiki na yashasemwa sana ila ni kazi bure maana viumbe wengine ni kama mizigo ya mavi, haibebeki. Kikubwa tujiombee mwisho mwema tu sisi kama sisi. Ujuaji mwingi hatma yake ni fedheha na anguko.
 
Am told that he has turned to be a typical ' Syncretist ' unlike his predecessors.
He will come to be a living example of "How the mighty have fallen". Akumbuke si kila anaempigia makofi ni kwa dhamira ya kusifia, wengine wanashangilia anguko lake.
 
Ukiona hujaelewa jua ujumbe haukukulenga ama siyo size yako hivyo unapota kimya tu. Pathetic
Mkuu samahani kama nimekukwaza, ila namaanisha binafsi sijaelewa vizuri


Mkuu samahani kama nimekukwaza, binafsi sijaelewa kitu 1-7 ungefanunua kidogo itakuwa rahisi hata ujumbe ufike kwa wahusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Akili yako ya ' Kipopoma ' hiyo ilikutuma kabisa uje ' Unitishie ' Mimi hapa Jamvini? Pumbavu!
Ndiyo Nlikua nakusubiria sasa umeingia anga zangu blalifuu
Chakubanga mkubwa
Mwehu mkubwa
Niongeze mengine?? Au yanakutosha
Fisi jike hapo Vp lingine tena??
Popoma
Ngedere hapo Vp


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…