Ili usimuue mkeo ukajiweka matatizoni, fanya yafuatayo

Ili usimuue mkeo ukajiweka matatizoni, fanya yafuatayo

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
ILI USIMUUE MKEO AU MCHUMBA WAKO UKAJIWEKA MATATIZONI FANYA YAFUATAYO

Anaandika, Robert HERIEL

Kuua ni kosa kisheria pia ni dhambi kubwa kidini. Hivyo ili kujiepusha na kosa hilo hasa Kwa wanandoa tukiwemo wanaume basi Ushauri huu utafaa zaidi;

1. Usioe Mwanamke ambaye ni first love wako, au unayempenda Kwa dhati yote

Ni ngumu sana Kwa mwanaume kuua mke ikiwa ni mzoefu wa wanawake, mara nyingi wanaume wasio na tabia ya polygamist ndio hujiua au kuua.
Mtu mwenye mtazamo wa kuoa mke zaidi ya mmoja ni nadra Sana kujiua au kuua mtu kisa mapenzi.

2. Usimhudumie Mwanamke Kwa kiwango kikubwa kupitiliza, usijitese kutafuta pesa kisa Mwanamke. Tafuta pesa Kwa ajili yako, au watoto wako.

Wanaume wanaotafuta pesa Kwa ajili ya wake au wanawake wanaowapenda ndio hujikuta katika hatari ya kuua.
Pesa inauma hakuna asiyejua.

Embu fikiria unajiingiza kwenye kazi hatari kisa umhudumie Mkeo alafu uje umkute amelala na Mwanaume mwingine hakika inauma.

Mimi huwaga silaumugi wala simhukumu mwanaume anayefanya matendo hayo, najua vile mtu anajisikia pale anaposalitiwa na mtu ambaye anamhudumia Kwa jasho na damu.

Ingawaje sipendekezi adhabu hizo, lakini ushauri wangu usimhudumie Mkeo kama malikia kiasi cha kujiumiza kwenye utafutaji.

Kuwa mbinafsi kadiri uwezavyo, jipende, na penda watoto wako. Wanaume wenye mtizamo huu ni nadra sana kujiua au kuua mtu kisa mapenzi.

3. Gawaneni majukumu ya kifamilia

Mume na mke wote muwajibike kuitunza familia, Bro - majukumu ya kimapato wote mchangie. Wote mfanye kazi mzalishe mlete NYUMBANI, hakuna cha Mume wala mke, hakuna cha mwanaume wala mwanamke. Wote mkafanye kazi au vibarua mlee familia. Mmoja akinunua mboga mwingine anunue Chakula.

Bills kila mtu awajibike. Kupunguza uchungu wa mmoja kuumia.

Majukumu ya NYUMBANI wote mfanye, iwe ni kupika au Kuosha vyombo au ikiwezekana kila mtu afue nguo zake.

Maana kuna watu wanasingizia kuwa wanafanya kazi za uzalishaji hivyo hawataki kufanya kazi za Nyumbani kisa wanatafuta pesa.

Na wengine wanafanya tuvikazi vya NYUMBANI kama Kuosha vyombo na Kupika wanachukulia ndio kigezo kikubwa kana kwamba ni kazi ngumu.

4. Usioe Baki kuwa Bachela

Hakuna Raha Kama kuwa Bachela hasa Kwa Sisi wanaume, kuna watu watabisha lakini ubachela unaraha Kwa Asilimia 80% wakati ukiwa kwenye ndoa Raha yake ni 20%. Kwa Zama hizi.

Zaa watoto kisha kila mtu apite kushoto, muwekeane utaratibu wa kuwalea watoto.

Huduma za Unyumba zinanunulika tuu, tena Kwa gharama rahisi kabisa, kila mwezi ukitenga laki moja yako inatosha kabisa kupata Huduma hiyo tena Kwa wanawake tofauti tofauti wenye mvuto tofauti.

Kama utaona hiyo ya kuoa inasumbua, kukaa na mtu miaka nenda Rudi alafu anakupasua kichwa basi ni Kheri ufuate ushauri huo.

Kuna watu watasema ishu ya Maadili lakini Kwa kizazi cha sasa ambacho hakina maadili ni Bora ufanye hivyo kuliko ujitese na kuua watu au kujiua kisa upumbavu.

5. Tafuta mwanamke Bikra uoe

Kama itakushinda kukaa Bachela, basi tafuta mwanamke Bikra uoe. Kama asemavyo Jokajeusi,

Itashangaza mtu ajiue Kwa mwanamke ambaye hakumkuta Bikra, au mwanamke ajiue Kwa mwanaume ambaye anama-ex Mia moja.

Huwezi muoa Mwanamke asiye na Bikra bila ku-format historia ya wapenzi wake wa zamani, elewa kuwa Mwanamke kumuoa sio sababu ya kukupenda, mara nyingi upendo wa Kwanza Kwa mwanamke ndio upendo halisi, mwanaume wa Kwanza ndio alimpenda Kwa dhati kuliko watakaofuatia.

Sasa assume wewe ni mtu wa tano kwake unafikiri unalipi la kumwambia, tayari anafanya kila kitu Kwa Reference za nyuma akikulinganisha wewe na wengine.

Mwisho Kwa watu wa Imani, Tunza watoto, wafundishe maadili hata Kama wewe ulikosea, muonyeshe namna ya kufanya chaguzi Kwa usahihi kwenye maisha.

Muathiri mtoto asichague wanaume au wanawake WA hovyo hiyo inawezakana kabisa, hata Kama wewe ulichagua mke/mume WA hovyo jitahidi umuathiri mtoto aone mabaya yaliyokupata, pandikiza chuki awachukie watu wapumbavu, makatili na wenye vichaa.

Hakikisha mtoto ajue Hana haki ya kuchagua Upande wa mauti au upande mbaya.

Hakikisha Ajue siku akichagua watu wasioeleweka hamtakuwa tena mtu na Mzazi wake.

Baadhi ya familia huwawekea watoto vikwazo Kwa kuwatenga, kutowapa Mali za Urithi ikiwa wataamua kufuata mambo ya hovyo.

Jambo hili linatuhusu zaidi wababa, Mwanaume lazima uwe mkali linapokuja suala la familia yako.

Sio toto linaamua kuwa Shoga au kufanya mambo ya kupuuzi unalichekea, zamani watoto walijua kabisa Baba zao watawaua ikiwa watajiingiza kwenye ujinga.

Baba lazima utambulike hivyo, usione shida kufukuza na kutoa adhabu Kali Kwa watoto wapuuzi.

Kuliko mtoto ajiue au auwe watoto wa wengine ni Kheri mzazi umdhibiti mapema Kabisa.

Siku zote Taikon ninaamini Matatizo ya watoto Kwa Asilimia 90% chanzo chake ni wazazi iwe Kwa uzembe au Kwa makusudi. Ndio maana wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka.

Wewe uliona wapi Nyoka akazaa jongoo.

Hizo kumi ni exceptional ambazo watoto huiga kwenye jamii. Ila 90% ni matokeo ya wazazi.

Kama mzazi ni Malaya mtoto ataachaje kuwa Malaya, hata ukienda kushtaki Kwa wazazi wake watakuwa wanakuchora tuu Ila kimsingi wao ndio tabia zao.

Mzazi mchoyo huzaa watoto wachoyo.

Mzazi mchawi huzaa watoto wachawi.

Mzazi mwizi huzaa watoto wezi.
Hivyo ndivyo ilivyo.

Vijana wa siku wanajifanya wamesoma wanakataa Jambo hili wanasema tabia ni ishu ya mtu mwenyewe hata hawajui maana ya tabia, ndio maana Dada yangu Faizafoxy anakuambia huko shuleni mmeenda kusomea ujinga. Kabla hujaoa au hujaolewa lazima uchunguze ukoo unaoenda kuolewa/kuoa.

Matukio ya Dunia hujirudia Kwa kufuata Mkondo, Kama kwenye ukoo wao kuna ishu za mauaji usijesema miaka mingi imepita haijatokea Jambo kama Hilo, sio kweli inaweza kutokea kwako, inaitwa volcano iliyolala. Historia inakawaida ya kujirudia lakini lazima ijirudie kwenye Mkondo uleule. Matukio ya mafuriko hukumba Maeneo yaleyale hata Kama yasipotokea miaka elfu moja, matukio ya vimbunga halikadhalika, matetemeko.

Kila ukoo unatabia zake za Asili iwe za ndani au za wazi. Vijana wakiambiwa hili watakubishia,

Watu wanasema ndoa ni ngumu lakini hawaelewi ugumu wanauleta wao.
Muislam aoelewe na muislam halikadhalika Wakristo Kwa Wakiriso.

Mzungu Kwa Mzungu
Muafrika kwa Mwafrika
Kabila Kwa kabila au Yale yanayokaribiana Mila. Sio mjifanye wajuaji ilhali hamna mjuacho.

Ndoa inahitaji Ufanano. Acha wauaji waoane wenyewe Kwa wenyewe,
Walevi Kwa walevi
Wazinzi Kwa wazinzi
Wema Kwa wema.

Hivyo ndio namna ya kuepukana na Matatizo na mabalaa.

Polisi na Serikali itoe hiyo Elimu, Dini na taasisi za mambo ya ndoa na kijinsia zitoe elimu hiyo.

Sio zitoe elimu za ajabuajabu ati watu wasibaguane, jamani kwenye maisha kuna mambo lazima watu wabaguane hasa ishu za ndoa na uzazi.

Huwezi weka pamoja Moto na maji
Huwezi weka pamoja Mafuta na Maji
Huwezi weka pamoja Giza na Nuru
Huwezi weka pamoja jamani eleweni hivyo.

Biblia inasema;
Danieli 2:43
Na kama vile ulivyokiona kile chuma kimechanganyika na udongo wa matope, watajichanganya nafsi zao kwa mbegu za wanadamu; lakini hawatashikamana, kama vile chuma kisivyoshikamana na udongo.

Vijana mnashindwa akili hata na wanyama, uliona wapi Chui na Chita wakazaliana licha ya kufanana.
Au uliona wapi Njiwa wa porini na njiwa nyumbani wakazaliana?
Au uliona wapi Mbwa mwitu na mbwa WA nyumbani wakazaliana hata wakiwekwa pamoja, labda walazimishwe na binadamu.
Au pundamilia na punda wa nyumbani uliona wapi wakaingiliana?

Mtu kuwa binadamu haimaanishi anaweza kuwa Mke au mume wako, Mungu sio mjinga atuumbe tofauti tofauti, kila makundi yakae pamoja.

Poleni Wafiwa!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
 
Hili somo haliingii akilini maana mapenzi kila mtu na mawazo na akili zake zinavyo mtuma mi nshafumania wife analiwa sikuongea kitu niliamua kuondoka mpaka leo sitaki kumuona na watoto nilishachukua wala sikumwambia kosa lake yani kimya mpaka leo.
 
Aisee si mchezo
 
Ok tumeelewa , basi nasema oa mwanamke anae kupenda, usioe unaempenda.

OA mwanamke au olewa na Mwanaume unayefanana Naye kisha mpende hiyo ndio Kanuni.

Haitakusaidia wewe pekee Bali mpaka watoto na wajukuu.

Ukikaidi Jambo Hilo nature itakuonyesha makosa yako Kwa watoto wako au wajukuu watakusumbua mpaka ukome,
 
Uwe mcha Mungu, umuombe Mungu akuunganishe na mcha Mungu. Msimame imara katika kumtumikia Mungu. Wote wawili mkiwa na hofu ya Mungu mambo hwenda barabara, maana mtaongozwa na Mungu. Ndoa ni taasisi iliyoanzishwa na Mungu mwenyewe. Ndoa ni kitu kizuri sana kwa kuwa kilianzishwa na Mungu pale bustanini Eden, Imeandikwa: "apataye mke apata kitu chema"

JESUS IS LORD
 
Hili somo haliingii akilini maana mapenzi kila mtu na mawazo na akili zake zinavyo mtuma mi nshafumania wife analiwa sikuongea kitu niliamua kuondoka mpaka leo sitaki kumuona na watoto nilishachukua wala sikumwambia kosa lake yani kimya mpaka leo.

😀😀

Tatizo unajifikiria mwenyewe, huoni tabu ipo Kwa watoto ambao unawalea bila ya Mama😀😀.

Tatizo mambo haya watu hawayafikirii Kwa kina, ni Sawa na Mwanamke anayejiwaza yeye kisa anauwezo WA Kulea watoto pekeake.

Kitendo cha Kulea watoto pekee yako kinatosha Kueleza kuwa familia yako imeanguka na hiyo utaiona baadaye Sana
 
Uwe mcha Mungu, umuombe Mungu akuunganishe na mcha Mungu. Msimame imara katika kumtumikia Mungu. Wote wawili mkiwa na hofu ya Mungu mambo hwenda barabara, maana mtaongozwa na Mungu. Ndoa ni taasisi iliyoanzishwa na Mungu mwenyewe. Ndoa ni kitu kizuri sana kwa kuwa kilianzishwa na Mungu pale bustanini Eden, Imeandikwa: "apataye mke apata kitu chema"

JESUS IS LORD

Mcha Mungu kwa mcha MUNGU
Muovu Kwa Muovu n.k.

Kanuni ni apate wa kufanana Naye, hivyo tuu
 
Mkuu Robert naomba usiwe unajitambulisha kama mkristo, labda ujiite myahudi

😀😀

Mimi ni Mkristo OG sio ule Ukristo ulioeditiwa.
Kristo alikuwa Myahudi na dini yake ni myahudi Ila wafuasi wake wanaona shida kufuata amri na sheria za kiyahudi. Inashangaza.

Kristo hajawahi kubadili dini popote pale
 
4. Usioe Baki kuwa Bachela.
Hakuna Raha Kama kuwa Bachela hasa Kwa Sisi wanaume, kuna watu watabisha lakini ubachela unaraha Kwa Asilimia 80% wakati ukiwa kwenye ndoa Raha yake ni 20%. Kwa Zama hizi.

Huduma za Unyumba zinanunulika tuu, tena Kwa gharama rahisi kabisa, kila mwezi ukitenga laki moja yako inatosha kabisa kupata Huduma hiyo tena Kwa wanawake tofauti tofauti wenye mvuto tofauti.

NAKUBALINA NA HII POINTI

TENA LAKI MOJA KWA MWEZI NAONA NYINGI.
KWA WAKAZI WA TEGETA, KUNA SEHEMU INAITWA COMFORT GUEST HOUSE (INATAZAMANA NA RABINSIA HOSPITAL).
KUNA WATOTO WAZURI PALE KWA 10,000., CHUMBA NA YEYE.
BAADA YA HAPO HAKUNA KUPIGIANA SIMU, SIJUI MAMA MGONJWA, MTOTO KARUDISHWA ADA.....
 
😀😀

Tatizo unajifikiria mwenyewe, huoni tabu ipo Kwa watoto ambao unawalea bila ya Mama😀😀.

Tatizo mambo haya watu hawayafikirii Kwa kina, ni Sawa na Mwanamke anayejiwaza yeye kisa anauwezo WA Kulea watoto pekeake.

Kitendo cha Kulea watoto pekee yako kinatosha Kueleza kuwa familia yako imeanguka na hiyo utaiona baadaye Sana
Ndio maana nimesema kila mtu na mawazo yake na akili zake.
 
Tusio na NDOTO yakuoaaa story km hz hata hazituhusuu,endeleen kuuana tu nyie mnaojifungiaa kwenyee ndoaaa kisaaa ety UVUMILIVU ...
 
4. Usioe Baki kuwa Bachela.
Hakuna Raha Kama kuwa Bachela hasa Kwa Sisi wanaume, kuna watu watabisha lakini ubachela unaraha Kwa Asilimia 80% wakati ukiwa kwenye ndoa Raha yake ni 20%. Kwa Zama hizi.

Huduma za Unyumba zinanunulika tuu, tena Kwa gharama rahisi kabisa, kila mwezi ukitenga laki moja yako inatosha kabisa kupata Huduma hiyo tena Kwa wanawake tofauti tofauti wenye mvuto tofauti.

NAKUBALINA NA HII POINTI

TENA LAKI MOJA KWA MWEZI NAONA NYINGI.
KWA WAKAZI WA TEGETA, KUNA SEHEMU INAITWA COMFORT GUEST HOUSE (INATAZAMANA NA RABINSIA HOSPITAL).
KUNA WATOTO WAZURI PALE KWA 10,000., CHUMBA NA YEYE.
BAADA YA HAPO HAKUNA KUPIGIANA SIMU, SIJUI MAMA MGONJWA, MTOTO KARUDISHWA ADA.....

😀😀😀

Hii ni Kwa wahuni tuu Mkuu lakini
 
wao wana campaign zao siku hizi wanasema"tafuta hela"

kama bro alikuwa na hela na bado huyu malaya akamzingua,hawa viumbe ni pasua kichwa.

huyu bikra unayemsema ndio hawa hawa watakutana na wenzie wamshauri ajaribu ya mwanaume mrefu mweusi jinsi ilivyo tamu[emoji28][emoji28][emoji28]
FB_IMG_1653738511521.jpg
 
Back
Top Bottom