Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,523
- 5,159
Ukweli mchungu watu ambao hawataki kukubali,Marekani inaonea nchi ambazo hazipo technology kwenye silaha,yaan huwezi kushindana kivita na Marekani kwa silaha za kununua.
Lakini kama una technology ya kutengeneza silaha kwakwel Marekani atabaki kukuwekea vikwazo tu na sikutaka kukuvamia kama tulivyoona Libya 🇱🇾 ,Iraq 🇮🇶 na hivi sasa Venezuela 🇻🇪 .
North Korea ,Iran 🇮🇷 kwakuwa na technology ya kutengeneza milipuko nimefanya mpaka leo hii Marekani awe mbwekaji na kuhitimisha kwa vikwazo na si kuvamia tena.
WEWE KATAA AU UKUBALI,ILA HUU NDIO UHALISIA