Ili utunishiane misuli na marekani lazima uwe nawewe unatengeneza silaha

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,523
Reaction score
5,159
Ukweli mchungu watu ambao hawataki kukubali,Marekani inaonea nchi ambazo hazipo technology kwenye silaha,yaan huwezi kushindana kivita na Marekani kwa silaha za kununua.

Lakini kama una technology ya kutengeneza silaha kwakwel Marekani atabaki kukuwekea vikwazo tu na sikutaka kukuvamia kama tulivyoona Libya ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡พ ,Iraq ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ na hivi sasa Venezuela ๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ช .

North Korea ,Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท kwakuwa na technology ya kutengeneza milipuko nimefanya mpaka leo hii Marekani awe mbwekaji na kuhitimisha kwa vikwazo na si kuvamia tena.

WEWE KATAA AU UKUBALI,ILA HUU NDIO UHALISIA
 
Watajua wenyewe na vita vyao bongo ndo kwanza samuya anijifunza kuchomoa roho za waandamanaji.
 
Na sisi tuanze kutengeneza aisee, sio kila siku tunajipendekeza mala Vatcan, US kote huko kwenda kujitetea kwa maamuzi yetu ndani ya nchi yetu wakati muamerika anadukua raisi nchi nyingine na haombi radhi.
 
Haupo sahihi. Cuba anatengeneza sllaha? Unafikiri kwa nini marekani haendi kumvamia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ