Ili uwe salama chukua dada wa kazi kwenye Taasisi zinazohusika na wadada wa kazi

Ili uwe salama chukua dada wa kazi kwenye Taasisi zinazohusika na wadada wa kazi

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
259
Reaction score
483
Kuna taasisi zinahusu wadada wa kazi hivyo chukua kule.ukipata shida wanafatilia mpaka kwao
 
Nahitaji watatu
maxresdefault.jpg
 
Kuna taasisi zinahusu wadada wa kazi hivyo chukua kule.ukipata shida wanafatilia mpaka kwao

Matapeli tu wale, huwa wanawaelekeza wadada wakae muda mfupi kwa waajiri wao...

Sababu huwa wanapata cha juu kila mdada anapochukuliwa na tajiri mpya kwa mara ya kwanza...
 
Dada wa kazi sahihi ni yule tu anaetoka kijijini kwenu tena kwa mtu unaemfahamu Sana.
 
Bango ni kubwa mkuu, Watakufuata PM
 
Back
Top Bottom