Ili uwe Waziri Mkuu inabidi ugombee jimbo, msibeze kwanini kaachia U-RC

Ukiteuliwa ubunge, Uwaziri Mkuu utausikia kwenye bomba.

Ila ukigombea ubunge ukashinda, Uwaziri Mkuu unaweza ukafikiriwa na pengine ukapewa.

Msimbeze jamaa yetu kujivua U-RC kiaina.

Pameanza kuchangamka!!
mbona la kugombea ubunge liliwekwa wazi kwamba anayetaka ubunge aachie ukuu wa mkoa haraka ili mwingine ateuliwe?
 
Ukiteuliwa ubunge, Uwaziri Mkuu utausikia kwenye bomba.

Ila ukigombea ubunge ukashinda, Uwaziri Mkuu unaweza ukafikiriwa na pengine ukapewa.

Msimbeze jamaa yetu kujivua U-RC kiaina.

Pameanza kuchangamka!!
Kwa hiyo ni maelekezo ya mamlaka ya uteuzi ili kulipa fadhila ya kumpendekeza yeye kuwa mgombea mwenza wakati ule wa Bunge Maalum la Katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…