Ili uwe Waziri Mkuu inabidi ugombee jimbo, msibeze kwanini kaachia U-RC

Ili uwe Waziri Mkuu inabidi ugombee jimbo, msibeze kwanini kaachia U-RC

Haijaisha mpaka iishe
Ndio ndio!!

Kama baraza la mawaziri likivunjwa na mlutheri aliepo akawekwa benchi!!

Yule mzee mwenye miaka 75 fiti kabisa anaweza kushawishi kijana machachari mbunge wa Arusha akapewa u pm ili kuiua ndoto yake ya kugombea urais 2030!!!

Halafu njia ikawa nyeupe kwa mtoto wake kuupata hapo 2030!!
Japo Hana ushawishi sana lakini anaweza kubebwa na uwezo wa kidplomasia wa kimataifa wa baba yake wa awamu ya nne!!

Lolote laweza kutokea kwenye siasa hizi!!

Ile tume mpya ya uchunguzi wa mauaji ya October 29 labda ndio imemuweka nchimbi pembeni kwa kusoma alama za nyakati na kukaa pembeni!!

Nawaza,nikiwa majarubani!!
 
Back
Top Bottom