Ili uwe Waziri Mkuu inabidi ugombee jimbo, msibeze kwanini kaachia U-RC

Ili uwe Waziri Mkuu inabidi ugombee jimbo, msibeze kwanini kaachia U-RC

Makonda hata akipata ubunge, hastahili kuwa Naibu au waziri, achilia huo U waziri mkuu.

Mbona itakua ni matusi kwa nchi na raia wake, Lol
 
Makonda hata akipata ubunge, hastahili kuwa Naibu au waziri, achilia huo U waziri mkuu.

Mbona itakua ni matusi kwa nchi na raia wake, Lol
Kama Kangi Lugola alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi sembuse huyo zero brain
 
Ukiteuliwa ubunge, Uwaziri Mkuu utausikia kwenye bomba.

Ila ukigombea ubunge ukashinda, Uwaziri Mkuu unaweza ukafikiriwa na pengine ukapewa.

Msimbeze jamaa yetu kujivua U-RC kiaina.

Pameanza kuchangamka!!
Huwezi kuwa waziri mkuu mwenye vikwazo kusafiri kwenda kwa nchi Wahisani.

Nchi hii tuna ujinga mwingi sana
 
Ukiteuliwa ubunge, Uwaziri Mkuu utausikia kwenye bomba.

Ila ukigombea ubunge ukashinda, Uwaziri Mkuu unaweza ukafikiriwa na pengine ukapewa.

Msimbeze jamaa yetu kujivua U-RC kiaina.

Pameanza kuchangamka!!
Arudi Arusha kwanza akaelezee tuhuma za ubadhirifu wakianza na shule maalumu kule Longido iliyotumia 5B wakati shule kama hizo nyingine hazijazidi 4.5B.
 
Sio rahisi, kumbuka kuna ban ya kusafiri kwenda US na baadhi ya nchi za ulaya kama sikosei.
Usidhani, ukishapigwa ban US automatically hata ulaya huwezi kwenda kwa usalama wa US na kwako pia.
 
Kama atakuja mtu ambae hawezi hata kukemea ubadhirifu na wizi wa Mali ya Umma au kupinga Rushwa kwa vitendo, basi mtajua kuwa System ndio inataka hivyo.

Haiwezekani kwa umri huu kama Taifa hakuna anaefungwa kwa wizi wa mabilioni huku mkiambiwa eti muibe kiasi.

Ajali zisizoisha tena mbaya zinazouwa kila siku ila watu wenye VYEO vikubwa bado wapo kazini.

Hatuwezi kuendelea hata huyo mnaetaka awe Rais, kama hawezi kubadili tabia hizi za kuogopa basi nae atakuwa wale wale
 
Back
Top Bottom