Sababu ni nyingi, sio msosi tu...kuna mwenendo wa afya toka azaliwe, chakula, genes, mazingira anayoishi nk...
Ila kwa upande wa msosi, inategemea na umri...
Mwanao anasoma kayumba na fagio la chelewa na kidumu,anapigwa jua njiani,hapati hata uji anashindi chai ya rangi na andazi,akirudo ugaki tembele
Atapauka tu
Maziwa ni muhimu sana kwa mtoto
1.Wanga - ugali, wali, kande, mikate na vingine.
2. Protini - mayai, maziwa, nyama, maharage
3. Vitamins - Matunda kwa wingi
4. Vitu vya watoto kuchezea nyumbani.
5. Sehemu safi ya kulala.
6. Kuwa mzazi na rafiki kwa watoto wako.
7. Wapeleke sehemu za watoto kucheza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.