Ili Yanga Game ya Mwisho Ashinde Goli 3 Na Mc Alger

Ili Yanga Game ya Mwisho Ashinde Goli 3 Na Mc Alger

COLTAN

Senior Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
196
Reaction score
187
HABARI.
Ili yanga afuzu game la mwisho inatakiwa ashinde 3 goals game ya Mwisho na Mc Alger.
AL hilal mechi 4 point 10
Mc alger mechi 5 point 8
Yanga mechi 4 point 4
Tp mazembe mechi 5 point 2.
1736619079573.jpg
 
Yanga ikishinda Kwa Al hilal Bado itahitaji kushinda magoli matatu vs mc Alger???


Kuna muda hua mnatuchosha tu
Ameandika hivyo kwasababu anaamini Yanga kesho anafungwa na Al Hilal. Yaani hakuna namna anayoweza kuepuka kipigo
 
HABARI.
Ili yanga afuzu game la mwisho inatakiwa ashinde 3 goals game ya Mwisho na Mc Alger.
AL hilal mechi 4 point 10
Mc alger mechi 5 point 8
Yanga mechi 4 point 4
Tp mazembe mechi 5 point 2.
UTOPOLO ATASHINDA NDIO ATASHINDA ILA NJAA.
 
Acha kuongea kishabiki mkuu. Game ya kesho ni ngumu na ni ngumu kwa Yanga kwakuwa wana pressure ya matokeo. To me draw will be a fair results.
Hakuna cha kuongea kwa ushabiki wala nini, kesho ushindi tu..!! Yanga iliyofungwa na Ibenge ni ile ya kabla gari halijawaka..!! Sasa gari imewaka, haina break na ipo mteremkoni. Hulioni hilo?
 
Back
Top Bottom