Ili Yanga Game ya Mwisho Ashinde Goli 3 Na Mc Alger

Ili Yanga Game ya Mwisho Ashinde Goli 3 Na Mc Alger

Hakuna cha kuongea kwa ushabiki wala nini, kesho ushindi tu..!! Yanga iliyofungwa na Ibenge ni ile ya kabla gari halijawaka..!! Sasa gari imewaka, haina break na ipo mteremkoni. Hulioni hilo?
Gari kuwaka ndio nn? Hilal gari imezima? Ushindi games 3 na draw moja unamdharau?
 
Yanga ikishinda Kwa Al hilal Bado itahitaji kushinda magoli matatu vs mc Alger???

Kuna muda hua mnatuchosha tu
Kivipi wakati akishinda hizo mechi mbili atafikisha pointi 10 na Mc Alger atabaki na 8 hizo hizo. Mnapigaje mahesabu....!!!??
 
Yanga wakimfunga Al Hilal sidhani kama goli 3 ni ishu kwa mwarabu, walimfanyiaga Belouzdad comeback goli 4 na ni bora kuliko Mc Algiers
 
Sasa Yanga akifungwa, si MCA tayari anakuwa ameshafuzu na point zake 8..!!?? Maana yake hata akimfunga MCA baada ya kufungwa na Al Hilal Yanga atafikisha point 7 tu..!!
Peke yako ndo mwenye akili
 
Yanga wakimfunga Al Hilal sidhani kama goli 3 ni ishu kwa mwarabu, walimfanyiaga Belouzdad comeback goli 4 na ni bora kuliko Mc Algiers
Mpira ungekuwa rahisi kiasi hicho mpaka sasa mngekuwa mnaongoza kundi.
 
Ni msimu uliopita tu Yanga ilimtoa Beluzidad kwa idadi ya magoli manne yaliyotakiwa kuamua nani wa kuendelea kwenye mashindano. Na ndiyo maana nimesema Yanga ikiamua, inaweza kufuzu kibabe.
Kwa hiyo yanga asipo fuzu ni kwa sababu hajaamuwa?
 
Isikusumbue na wala usikose usingizi wako kwa sababy ya Yanga. Mpaka sasa hivi
Al Hilal na MC Alger wameshingizwa kwenye mfumo wa Yanga kwa hiyo matokea yanajulikana bila ramli.
 
Hakuna cha kuongea kwa ushabiki wala nini, kesho ushindi tu..!! Yanga iliyofungwa na Ibenge ni ile ya kabla gari halijawaka..!! Sasa gari imewaka, haina break na ipo mteremkoni. Hulioni hilo?
Kabisa gari limewaka na halina breki kilichobaki ni kugongwa na fao.
 
Back
Top Bottom