Kagame anaitumia EAC kufanya snitch.Matokeo yake unaunganisha nchi ambazo hazina "things in common" au zenye conflicts kabisa. moja ya kirusi kikubwa kwenye huu umoja ni Rwanda. Rwanda hakutakiwa kabisa kuingia kwenye huu muungano mana si muungwana kabisa. hatoseki na alichonacho.
Kama ningekua na maamuzi, ningeitoa Tanania kwenye huu Muungano na ningefanya msako mkali sana wa informers and intruder wote walio nchini in the name of EAC.
Mimi binfsi nimegoma kuzitambua nchi zote za kwenye jumuia hiyo nje ya Tanzania, kenya na Uganda.
Kama ilivyokuwa makosa makubwa kuipanua Tanganyika mpaka kule ZanzibarMatokeo yake unaunganisha nchi ambazo hazina "things in common" au zenye conflicts kabisa. moja ya kirusi kikubwa kwenye huu umoja ni Rwanda. Rwanda hakutakiwa kabisa kuingia kwenye huu muungano mana si muungwana kabisa. hatoseki na alichonacho.
Kama ningekua na maamuzi, ningeitoa Tanania kwenye huu Muungano na ningefanya msako mkali sana wa informers and intruder wote walio nchini in the name of EAC.
Mimi binfsi nimegoma kuzitambua nchi zote za kwenye jumuia hiyo nje ya Tanzania, kenya na Uganda.
Anafanyaje snitch? Unajua maana ya snitch?Kagame anaitumia EAC kufanya snitch.
Yeye ni snich, huwez back terrorist wanaoleta shida nchi jiraniAnafanyaje snitch? Unajua maana ya snitch?
🤣 🤣 🤣Kama ilivyokuwa makosa makubwa kuipanua Tanganyika mpaka kule Zanzibar