Ilikua ni makosa kuipanua EAC nje ya Tanzania , Kenya na Uganda.

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Matokeo yake unaunganisha nchi ambazo hazina "things in common" au zenye conflicts kabisa. moja ya kirusi kikubwa kwenye huu umoja ni Rwanda. Rwanda hakutakiwa kabisa kuingia kwenye huu muungano mana si muungwana kabisa. hatoseki na alichonacho.

Kama ningekua na maamuzi, ningeitoa Tanania kwenye huu Muungano na ningefanya msako mkali sana wa informers and intruder wote walio nchini in the name of EAC.

Mimi binfsi nimegoma kuzitambua nchi zote za kwenye jumuia hiyo nje ya Tanzania, kenya na Uganda.
 
Kagame anaitumia EAC kufanya snitch.
 
Kama ilivyokuwa makosa makubwa kuipanua Tanganyika mpaka kule Zanzibar
 
Tufanye Muungano na Congo tufungue barabara kupitia Ziwa Tanganyika. Apewe mchina kandarasi apige Lani mpaka Lubumbashi na Kinshasa!
 
INCHI YA TZ IJIKITE KUTATUA SHIDA ZAKE.TUNA MATATIZO CHUNGU MZIMA MUUNGANO WA EAC HAUNA FAIDA YOYOTE!!!

📌📌📌AFRICA UNITED IS A DAYLIGHT DREAM!!!

#UAFRICA NI LAANA!!!
 
Mjadala ulitakiwa uwe nchi yetu inanufaika vipi na huu mgogoro wa Kongo.

Kama tuliweza kupandikiza Raisi kule Kongo, hivi hatuwezi kujimegea angalau Jimbo moja kule.

Kongo haitakiwi kuwa Taifa moja.
 
Back
Top Bottom