Ilikuaje ukapata Gono mara ya kwanza? Je, aliekuambukiza ulimdhania anaweza kuumwa ugonjwa huo?

Ilikuaje ukapata Gono mara ya kwanza? Je, aliekuambukiza ulimdhania anaweza kuumwa ugonjwa huo?

Sintosahau asee, nilichomoka ofisini kama digi digi kwenda kutafuta azuma hapo posta benjamin mkapa towers. Hapo nimekutana na kijamaa kinaniuliza maswali mengi nikakiambia aisee ninahisi nina gono acha maswali mengi nipatie dawa. Demu aliyenipatia hilo dude namkumbuka vizuri tu
 
... kwakweli, mara nyingi, unapoambukizwa huwa unajiuliza mara mbilimbili kama nanii ndio kakuletea! ... maana nanii alikuwa anakudanganya kuwa yeye ni wewe tu!
😅
Na usiombe iwe umemuhangaikia sana na kumuhonga juu.

Yaan yale maumivu yakianza unakumbuka umehonga ili upate ugonjwa. Mm enzi hizo nilikua active sana, nikiona binti kavaa nusu nusu dushe linasimama, sasa hapo nina Gono, mashine inatoka usaha kuna siku sijui nikaona nn mashine ikasimama, aisee yale maumivu yake ni balaa
 
Sintosahau asee, nilichomoka ofisini kama digi digi kwenda kutafuta azuma hapo posta benjamin mkapa towers. Hapo nimekutana na kijamaa kinaniuliza maswali mengi nikakiambia aisee ninahisi nina gono acha maswali mengi nipatie dawa. Demu aliyenipatia hilo dude namkumbuka vizuri tu
Gono acha iitwe gono
 
Back
Top Bottom