MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Wanafunzi wamejaza UTI na Gono, sababu kuu ni vyoo vyao huko mashuleniAlinipa binti mmoja alikuwa mwanafunzi shule ya sekondari aquinas mjini mtwara na nilipomwambia alibisha sana akadai mimi ni malaya na wakati huo mkewangu alikuwa mjamzito sasa sijui ingekuwaje kama ningesex na wife
Na usiombe iwe umemuhangaikia sana na kumuhonga juu.... kwakweli, mara nyingi, unapoambukizwa huwa unajiuliza mara mbilimbili kama nanii ndio kakuletea! ... maana nanii alikuwa anakudanganya kuwa yeye ni wewe tu!
π
Gono acha iitwe gonoSintosahau asee, nilichomoka ofisini kama digi digi kwenda kutafuta azuma hapo posta benjamin mkapa towers. Hapo nimekutana na kijamaa kinaniuliza maswali mengi nikakiambia aisee ninahisi nina gono acha maswali mengi nipatie dawa. Demu aliyenipatia hilo dude namkumbuka vizuri tu
Mkuu niliacha kwata mwoshoni kabisa maana ukiacha kwata unapelkwa shamba ambako huko mziki wake mmmh...Huu uzi nacheka sana
Kwa yale maumivu na upo kambini sijui inakuaje, dawa ulipata vp?
Ni 100+ aiseeTaja body count, kama inazidi 20 na hujapata gono basi ww hata ukimwi unakuogopa
Yule demu nilikua namuamini akaniwasha kisengerema sana...Hahahaha polepole mkuu