Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hivi ilikuwa sahihi kwa viongozi hawa wawili kuamua kuunda muungano wa serikali mbili bila kuitisha kura ya maoni ili watanzania wenyewe waamue kwanza kama wanataka muungano na kisha waamue ni aina gani ya muungano wanaoutaka?
Katika mazingira haya,huu muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni halali?
Kama ni halali,uhalali wake unatoka wapi?
Je,hatuoni kuwa Nyerere na Karume ndio walijenga msingi wa hiki leo tunachokiita kero za Muungano?
Swali la mwisho na la msingi:
Je,Nyerere na Karume walikuwa na mamlaka ya kikatiba kuunganisha nchi hizi mbili?
Sio sahihi watu wawili kuwakilisha watu zaidi ya million 10!
...
Muungano sio halali coz hakukuwa na kipengele cha katiba kilichosema hivyo!
...
Wizi mtupu!
Sio sahihi watu wawili kuwakilisha watu zaidi ya million 10!
...
Muungano sio halali coz hakukuwa na kipengele cha katiba kilichosema hivyo!
...
Wizi mtupu!
Huu muungano ni haramu tangu kuasisiwa kwakwe!
Tatizo watu wamekariri tu muungano,muungano!
Hata kura ya maoni wangetumia tu ilikua inatosha wangejua kama wanataka muungano au vp ila hapo walitumia ubabe tu
Unadhani wangetumia mfumo gani wakati ule ambao elimu ya uraia tu haikufahamika? Ilikuwa sahihi tusitoe hukumu pasipo kujua mazingira ya wakati ule kisiasa, kiuchumi, kielimu hata kimwamko
According to general principle of the law of contract especially international law, so as to formulate a valid contract, the parties must have the capacity to do so!
Karume hakujua kusoma wala kuandika, hiyo legal capacity ya kufanya mkataba wa muungano aliipatia wapi???
...
My frnd Salary slip! Nakurudia tena mkataba wa muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar ni null and void! Tena void abinitio!
Muungano si halali!
..1
Vipi ubunge wa wazanzibari katika muungano ni halali au la?
...2
Vipi suala la wanzanibari kumiliki ardhi bara na kuvua samaki maji ya bara na kujenga bara wakati suala la ardhi si la muungano na halijaandikwa popote vipi ni halali au si halali?
Sababu unayoitoa haina mashiko hata kidogo!
Nyerere na Karume hapa walichemka tena vibaya sana.
Good questions!
...1
ubunge ni halali kwa sababu kuna sheria inayoruhusu hivyo!
Just search!
...2
Wazanzibari kumiliki ardhi Tanganyika ni halali too! as opposed to Watanganyika kumiliki Ardhi Zanzibar!
Just Tafuta Land Act as amended 2004 also tafuta ktk Land registration Act!
.
Na logic ni kuwa Zenji ni Ardhi ndogo compared to Tanganyikas land!
...
Hizo sheria zilizosema hivyo ni principal legislation na ni valid coz zinatambulika na JALA!
Just findout!
Kama Zenj ardhi ni ndogo,basi wapitishe sheria ya kudhibiti "kuzaana" kama wachina.
Hatutaki muungano wenye "double standard"
Yenye mashiko ni ipi? Mere accusations bila kujali mazingira ya wakati ule? Mazingra ya kufanya juhudi za kisomo cha watu wazima kwanza? Mazingira ya K3 ndio uwapelekee raia Referendum?
Umma upi? mbona huulizi wakati karume anapindua kama aliushirikisha umma? hata sasa umma bado hauna uelewa wowote wa muungano wanaoelewa hawazidi 20% ya watu wote ndio sembuse 64Hivi ilikuwa sahihi kwa viongozi hawa wawili kuamua kuunda muungano wa serikali mbili bila kuitisha kura ya maoni ili watanzania wenyewe waamue kwanza kama wanataka muungano na kisha waamue ni aina gani ya muungano wanaoutaka?
Katika mazingira haya,huu muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni halali?
Kama ni halali,uhalali wake unatoka wapi?
Je,hatuoni kuwa Nyerere na Karume ndio walijenga msingi wa hiki leo tunachokiita kero za Muungano?
Swali la mwisho na la msingi:
Je,Nyerere na Karume walikuwa na mamlaka ya kikatiba kuunganisha nchi hizi mbili?
Ni mawazo yako!Maswali mengine ya kijinga kweli kweli!!
Umma upi? mbona huulizi wakati karume anapindua kama aliushirikisha umma? hata sasa umma bado hauna uelewa wowote wa muungano wanaoelewa hawazidi 20% ya watu wote ndio sembuse 64
Ni mawazo yako!