Ilikuwa sahihi kwa Nyerere na Karume kuamua aina ya muundo wa muungano bila kushirikisha umma?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hivi ilikuwa sahihi kwa viongozi hawa wawili kuamua kuunda muungano wa serikali mbili bila kuitisha kura ya maoni ili watanzania wenyewe waamue kwanza kama wanataka muungano na kisha waamue ni aina gani ya muungano wanaoutaka?

Katika mazingira haya,huu muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni halali?

Kama ni halali,uhalali wake unatoka wapi?

Je,hatuoni kuwa Nyerere na Karume ndio walijenga msingi wa hiki leo tunachokiita kero za Muungano?

Swali la mwisho na la msingi:

Je,Nyerere na Karume walikuwa na mamlaka ya kikatiba kuunganisha nchi hizi mbili?
 
Sio sahihi watu wawili kuwakilisha watu zaidi ya million 10!
...
Muungano sio halali coz hakukuwa na kipengele cha katiba kilichosema hivyo!
...
Wizi mtupu!
 
Huu muungano ni haramu tangu kuasisiwa kwakwe!

Tatizo watu wamekariri tu muungano,muungano!
 
Muungano si halali! Vipi ubunge wa wazanzibari katika muungano ni halali au la? Vipi suala la wanzanibari kumiliki ardhi bara na kuvua samaki maji ya bara na kujenga bara wakati suala la ardhi si la muungano na halijaandikwa popote vipi ni halali au si halali?
 
Unadhani wangetumia mfumo gani wakati ule ambao elimu ya uraia tu haikufahamika? Ilikuwa sahihi tusitoe hukumu pasipo kujua mazingira ya wakati ule kisiasa, kiuchumi, kielimu hata kimwamko
 
Hata kura ya maoni wangetumia tu ilikua inatosha wangejua kama wanataka muungano au vp ila hapo walitumia ubabe tu
 
Huu muungano ni haramu tangu kuasisiwa kwakwe!

Tatizo watu wamekariri tu muungano,muungano!

According to general principle of the law of contract especially international law, so as to formulate a valid contract, the parties must have the capacity to do so!
Karume hakujua kusoma wala kuandika, hiyo legal capacity ya kufanya mkataba wa muungano aliipatia wapi???
...
My frnd Salary slip! Nakurudia tena mkataba wa muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar ni null and void! Tena void abinitio!
...
Wizi mtupu!
 
Unadhani wangetumia mfumo gani wakati ule ambao elimu ya uraia tu haikufahamika? Ilikuwa sahihi tusitoe hukumu pasipo kujua mazingira ya wakati ule kisiasa, kiuchumi, kielimu hata kimwamko

Sababu unayoitoa haina mashiko hata kidogo!

Nyerere na Karume hapa walichemka tena vibaya sana.
 
According to general principle of the law of contract especially international law, so as to formulate a valid contract, the parties must have the capacity to do so!
Karume hakujua kusoma wala kuandika, hiyo legal capacity ya kufanya mkataba wa muungano aliipatia wapi???
...
My frnd Salary slip! Nakurudia tena mkataba wa muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar ni null and void! Tena void abinitio!

Tatizo la baadhi ya wasomi wetu muungano lazima uandikwe kwa kizungu kilichojaa maneno ya kilatini na kukubalika na walimu wa kizungu waliowafundisha darasani kuongea kizungu.

Babu yangu na bibi na baba yangu na mama yangu waliungana kuoana bila kuandikiana popote wala kusainiana popote kwa kuwa walikuwa hawajasoma lakini miungano yao ilidumu vizuri.

Muungano wowote ule uwe wa kuandikwa au kutoandikwa uwezeshe maisha ya watu kwenda hayo mambo mengine ya kilatini sijui void abinitio yanafaa kuyaongelea mtu akishalewa pombe za kizungu.
 
Muungano si halali!
..1
Vipi ubunge wa wazanzibari katika muungano ni halali au la?
...2
Vipi suala la wanzanibari kumiliki ardhi bara na kuvua samaki maji ya bara na kujenga bara wakati suala la ardhi si la muungano na halijaandikwa popote vipi ni halali au si halali?

Good questions!
...1
ubunge ni halali kwa sababu kuna sheria inayoruhusu hivyo!
Just search!
...2
Wazanzibari kumiliki ardhi Tanganyika ni halali too! as opposed to Watanganyika kumiliki Ardhi Zanzibar!
Just Tafuta Land Act as amended 2004 also tafuta ktk Land registration Act!
.
Na logic ni kuwa Zenji ni Ardhi ndogo compared to Tanganyikas land!
...
Hizo sheria zilizosema hivyo ni principal legislation na ni valid coz zinatambulika na JALA!
Just findout!
 
Sababu unayoitoa haina mashiko hata kidogo!

Nyerere na Karume hapa walichemka tena vibaya sana.

Yenye mashiko ni ipi? Mere accusations bila kujali mazingira ya wakati ule? Mazingra ya kufanya juhudi za kisomo cha watu wazima kwanza? Mazingira ya K3 ndio uwapelekee raia Referendum?
 
Good questions!
...1
ubunge ni halali kwa sababu kuna sheria inayoruhusu hivyo!
Just search!
...2
Wazanzibari kumiliki ardhi Tanganyika ni halali too! as opposed to Watanganyika kumiliki Ardhi Zanzibar!
Just Tafuta Land Act as amended 2004 also tafuta ktk Land registration Act!
.
Na logic ni kuwa Zenji ni Ardhi ndogo compared to Tanganyikas land!
...
Hizo sheria zilizosema hivyo ni principal legislation na ni valid coz zinatambulika na JALA!
Just findout!

Kama Zenj ardhi ni ndogo,basi wapitishe sheria ya kudhibiti "kuzaana" kama wachina.

Hatutaki muungano wenye "double standard"
 
Hahahahahahaaaa!
Hapo umeongea!
Zanzibar udini wa kibubusa unawadhuru sana!
Wanazaa kama panya!
.
Zanzibar ni nyumbani but kuna baadhi ya tamaduni sikubaliani nazo!
...
Wewe hata usjali hiyo ishu ya umilikiji ardhi itajadiliwa ktk bunge la katiba!
 
Yenye mashiko ni ipi? Mere accusations bila kujali mazingira ya wakati ule? Mazingra ya kufanya juhudi za kisomo cha watu wazima kwanza? Mazingira ya K3 ndio uwapelekee raia Referendum?

Mazingira yepi Simphola? Sio Zanzibar, Huku jua lilichomoza zamani, Walipiga kura mara tatu 1961, 1963, kuchaguwa chama gani kiwaongoze baada ya uhuru wa 10th December 1963, kwa hamasa kubwa. Washindwe kujibu kura ya maoni? Dont ridicule us.
 
Hivi ilikuwa sahihi kwa viongozi hawa wawili kuamua kuunda muungano wa serikali mbili bila kuitisha kura ya maoni ili watanzania wenyewe waamue kwanza kama wanataka muungano na kisha waamue ni aina gani ya muungano wanaoutaka?

Katika mazingira haya,huu muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni halali?

Kama ni halali,uhalali wake unatoka wapi?

Je,hatuoni kuwa Nyerere na Karume ndio walijenga msingi wa hiki leo tunachokiita kero za Muungano?

Swali la mwisho na la msingi:

Je,Nyerere na Karume walikuwa na mamlaka ya kikatiba kuunganisha nchi hizi mbili?
Umma upi? mbona huulizi wakati karume anapindua kama aliushirikisha umma? hata sasa umma bado hauna uelewa wowote wa muungano wanaoelewa hawazidi 20% ya watu wote ndio sembuse 64
 
Hakuna anaeuelewa Muungano, kuna waumini tuu wa Muungano. Waulize watu 50 tumeungani nini, kila mmoja atakupa jibu lake.
 
Ni mawazo yako!

Siyo mawazo yangu bali ni ukweli kuwa swali hilo ni la kijinga kwa sababu linashindwa kuelewa kuwa Nyerere huyo aliopoamua kugombea uhuru hakupitisha kura ya maoni kuona kuwa kweli wananchi wanataka uhuru. Karume alipofanya mapinduzi hakupitisha kura ya maoni kuona kama kweli watu wanataka mapinduzi. Kwa nini mtu auuliziea uamuzi wao wa kuunganisha nchi zao wakati hakuuliza maamuzi yao ya mapindunzi na ya uhuru. Halafu anauliza swali kama hajui kabisa time value ya events. Value ya event ya mwaka 1949 siyo sawa na ile ya event ya mwaka 2013.
 
Back
Top Bottom