Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hivi ilikuwa sahihi kwa viongozi hawa wawili kuamua kuunda muungano wa serikali mbili bila kuitisha kura ya maoni ili watanzania wenyewe waamue kwanza kama wanataka muungano na kisha waamue ni aina gani ya muungano wanaoutaka?
Katika mazingira haya,huu muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni halali?
Kama ni halali,uhalali wake unatoka wapi?
Je,hatuoni kuwa Nyerere na Karume ndio walijenga msingi wa hiki leo tunachokiita kero za Muungano?
Swali la mwisho na la msingi:
Je,Nyerere na Karume walikuwa na mamlaka ya kikatiba kuunganisha nchi hizi mbili?