Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
[emoji36] [emoji36] [emoji36][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji36] [emoji36] [emoji36][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126]
Whatsapp imemaliza nguvu ya chitchat. Watu wameanzisha vigrupu kibao. Hakyamama hata kipaji changu cha kutongoza kimeshuka sana...
Nadhani vyotevyote... hali mbaya.Babu unamaanisha kiwango au Kipaji!?
Tupo sana miaka ya shetani....... he he he......nimeangalia kidogo nikaona ID nyingi zilizochangia huu uzi ni RIP.....teh teh teh......ni makomandoo tu hustahimili vishindo.......
Walale pema huko walipo. .
Napenda kuwajulisha kwamba wimbo wa Taifa umebadilishwa na Darasa. ......Eti siku hizi unaitwa Muziki. ....
sijakuelewa mkuu uliposema hukuwahi kuwauliza mods kuhusu password yako, unataka kusema mods wanajua password zetu au?
Umeona sasa? Hii wozap hii... maniner zake na roboHayo ndio maneno sasa.....
Tuchekiane kwenye wozup.
Umeona sasa? Hii wozap hii... maniner zake na robo
Angalau wewe unasomeka... dahngoja nikutumie wozap......
Angalau wewe unasomeka... dah
Ndo maana sikuachagi ujue...si ndio hiyo sasa.......
Inabidi turudi tena babu! Huku kuna raha yakeWhatsapp imemaliza nguvu ya chitchat. Watu wameanzisha vigrupu kibao. Hakyamama hata kipaji changu cha kutongoza kimeshuka sana...
Naskinia na wewe umefichwa na "wastaarabu" LOLInabidi turudi tena babu! Huku kuna raha yake
Tarehe kama ya leo, mwezi wa kwanza, mwaka 2011 (6th Jan 2011), Nilipata fursa ya kujiunga na Jamii Forums. Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kudumu humu jamvini mpaka sasa ..
SABABU YA KUJIUNGA
Habari za SIASA motomoto nilizokuwa nikizipata miaka ile kwenye JAMBO FORUMS, ndizo zilikuwa chachu ya mimi kujiunga tena...
KWA NINI TENA?
Baada ya kukaa nje ya mtandao kwa muda mrefu, nadhani Jambo Forums waliondoka na password yangu... Nilijaribu sana kukumbuka password lakini niliambulia patupu...."Sikuwahi kupata wazo la kuwauliza Mods"
MAFANIKIO
Nimeweza kupata marafiki wengi ,ambao tunafurahi pamoja, tunashirikiana katika mambo mbalimbali.Kimsingi wamekuwa ni sehemu ya familia yangu....
Lini ningekwenda Tanga na kuenjoy kiviile kama sio JF? Big Up sana Arusha-WING, TA-WING na DAR-WING....
Nimeweza kufuatilia mambo mbalimbali ya kisiasa yanayoendelea Nchini,ya kupendeza,kuhuzunisha nk.... Daima nitashukuru kuwepo kwa Jukwaa la Siasa maana bila wao, hakika nisingefika hata huku Chit Chat....
SHUKRANI ZA PEKEE.
Ziwafikie Mods ambao mpaka sasa hawajawahi kunipa hifadhi kule BAN GUEST HOUSE... Nasikia kule kuna mateso balaa, alinidokeza Mungi . Muendelee na moyo huo huo, mkizidi kufanya kazi yenu kwa umakini, msinikumbuke kabisa katika huo ufalme wa BAN..
Pili kwa mume mpenzi Filipo ,kwa kunidaka juu juu.. Nakiri kwamba upinzani upo ,tena mkubwa toka kwa Smile , ladyfurahia , sweetlady Arabela amu ila sintolala usingizi kabisa.... Baadhi ya niliowataja kwa namna moja wanampenda au wanapendwa na mume wangu.... Nayahesabu kwamba ni mapungufu ya kibinadamu....
UJUMBE:
Mimi na Filipo hatukukutana barabarani ,na kama hamuamini angalieni lini tulijiunga JF....
Nawatakia Upendo, Furaha , na Mafanikio katika kila Jambo mtakalolipanga kwa mwaka huu mpya 2013...
Copy: PakaJimmy , Blaki Womani , Preta , Lily Flower , Arushaone , Mr Rocky , Mungi , Mzee wa Rula , LiverpoolFC , Erickb52 , Smile , Arabela , Dark City , madame V , Nicas Mtei na wengine ambao sijawataja...