Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 901
- 3,112
Ilipita kama miezi 10 hivi sijapata muda wa kwenda kumuona mtoto wangu ambaye nimezaa na mtoto wa kitanga
Basi bhana nikapanga safari yangu vizuri. Na nikaaga Kwa wife kwamba naenda Kusalimia mtoto.
Hii ishu ya mtoto wife anaijua. Nilikuwa niondoke jumatano jioni saa 11 hivi ila wife akanigeuka akagoma. Kuna zake aliniazima ananidai kama laki hivi Sasa sharti ni kwamba akasema Ili niende nimlipe kwanza madeni yake.
Basi bhana nikipiga mahesabu mfukoni Nina kama 180 TU ambayo inatosha TU kutoka Arusha Hadi Tanga.
Basi siku hiyo safari ikafa ikabidi niondoke kesho yake mchana hivi nikaenda zangu kupanda gari stendi kuu ya mabasi Arusha saa 8 mchana nikaondoka zangu kuelekea Tanga hapo safari inatakiwa iishie Kijiji au mji unaitwa hale nikatuma nikamtumia mama mtoto kama 20 hivi Ili atoke hapo Kijiji I tukutania hapo hale mama mtu anatokea Kijiji I kinaitwa KWAFUNGO
Basi bhana nikampa mama mtoto majukumu ya kutafuta sehemu ya kufikia kabisa akafanikisha kupata na kulipia kabisa. Muda ya saa4 hivi usiku naingia hale na gari kama sijakosea inaitwa taqeeb.....