Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
habari njema ni kwamba MKE wako siku hiyo alikazwa.
Hata kwa kujilipia show na lodge au guest house
Hata kwa kujilipia show na lodge au guest house
Upuuzi wao wa kila siku, hawa single mothers n kama vile mganga wao n mmoja, wote tabia zao n zile zileNini likitokea?
Ndio wanaume waliopo hao tutakoma.Jamaa amenisikitisha sana mwenyewe anajiona kidume kabisa hadi anasimulia🤣
Usikilizwe umesema kweliMwanaume Una 180 na nyingine unadaiwa na bado unajipa safari ya kwenda Mkoa Mwingine? Mkuu kwani ukisubiri upate hela ya kutosha utapungukiwa na nini.
20 umetuma una baki na 160, nauli let say 20 unabaki na 140, guest house 15k na chakula 20k, Mkuu Mwanao unamwachia nini hapo?
Acheni kuzaa hovyo hivyo kama hamna Uwezo wa kulea watoto
Au Nasema uongo.?Usikilizwe umesema kweli
Mkuu sijajua wanajifunzia wapi nadhani nion social mediaUpuuzi wao wa kila siku, hawa single mothers n kama vile mganga wao n mmoja, wote tabia zao n zile zile
Hata ambaye hana smart nae n mwendo huo huo aisee, cjui tatizo n nn au trauma za kuachwa zina effects za aina moja kwa woteMkuu sijajua wanajifunzia wapi nadhani nion social media
Dah. 👊👊Mwanaume Una 180 na nyingine unadaiwa na bado unajipa safari ya kwenda Mkoa Mwingine? Mkuu kwani ukisubiri upate hela ya kutosha utapungukiwa na nini.
20 umetuma una baki na 160, nauli let say 20 unabaki na 140, guest house 15k na chakula 20k, Mkuu Mwanao unamwachia nini hapo?
Acheni kuzaa hovyo hivyo kama hamna Uwezo wa kulea watoto
Jamaa hataki kurejea tena 😂Now jamaa uzi wake anauogopa kama ngoma
Jamaa wamemtoa mchezoni kabisa dogo na haendelei tena na story yake.Jamaa kumbe alikuwa hawajui mafogo wa jf
Hahaha kakutana na kitu kizitoJamaa hataki kurejea tena 😂
Umesema kweliAu Nasema uongo.?
nimecheka sanaNow jamaa uzi wake anauogopa kama ngoma
Jamaa hataki kurejea tena
🤣🤣nimecheka sana
jamaa amepata injury dakika za mapema kabisa wakati hajapiga hata off targetJamaa wamemtoa mchezoni kabisa dogo na haendelei tena na story yake.
hahahaa kwanini mkuunimecheka sana
haha alikua hawajuiWajuaji wa jf wamemfurusha mwenye uzi wake