Hawa ndio huwa wanasababisha bodaboda wanatandika mali zao, sababu mkewe anakuwa anajua huyu ataenda kuichapa, na yeye(mkewe) anawaza jamaa huwa anamsumbua kasema atamtoa out akale biambili na kuku wa kienyeji kisha baada ya majamboz atampa 35.Mke anaenda kutoa hasira.Mwanaume Una 180 na nyingine unadaiwa na bado unajipa safari ya kwenda Mkoa Mwingine? Mkuu kwani ukisubiri upate hela ya kutosha utapungukiwa na nini.
20 umetuma una baki na 160, nauli let say 20 unabaki na 140, guest house 15k na chakula 20k, Mkuu Mwanao unamwachia nini hapo?
Acheni kuzaa hovyo hivyo kama hamna Uwezo wa kulea watoto
Yaani kwakweli baadhi ya Wanaume hatuwatendei Haki wanawake zetu, huyo jama alitakiwa ajipange kwanzaHawa ndio huwa wanasababisha bodaboda wanatandika mali zao, sababu mkewe anakuwa anajua huyu ataenda kuichapa, na yeye(mkewe) anawaza jamaa huwa anamsumbua kasema atamtoa out akale biambili na kuku wa kienyeji kisha baada ya majamboz atampa 35.Mke anaenda kutoa hasira.
Kuna jamaa mkewe anachapwa na dogo janja kwa sababu katembeza rungu nje mi napata habari in both ends daah hili life, dogo ananiambia anavyoikamia mpaka ina squirt, na mke wa msela ananiambia anavykolea huku akisikitika ni kosa. The Saga Continue