Mwanaume Una 180 na nyingine unadaiwa na bado unajipa safari ya kwenda Mkoa Mwingine? Mkuu kwani ukisubiri upate hela ya kutosha utapungukiwa na nini.Ilipita kama miezi 10 hivi sijapata muda wa kwenda kumuona mtoto wangu ambaye nimezaa na mtoto wa kitanga
Basi bhana nikapanga safari yangu vizuri. Na nikaaga Kwa wife kwamba naenda Kusalimia mtoto.
Hii ishu ya mtoto wife anaijua. Nilikuwa niondoke jumatano jioni saa 11 hivi ila wife akanigeuka akagoma. Kuna zake aliniazima ananidai kama laki hivi Sasa sharti ni kwamba akasema Ili niende nimlipe kwanza madeni yake.
Basi bhana nikipiga mahesabu mfukoni Nina kama 180 TU ambayo inatosha TU kutoka Arusha Hadi Tanga.
Basi siku hiyo safari ikafa ikabidi niondoke kesho yake mchana hivi nikaenda zangu kupanda gari stendi kuu ya mabasi Arusha saa 8 mchana nikaondoka zangu kuelekea Tanga hapo safari inatakiwa iishie Kijiji au mji unaitwa hale nikatuma nikamtumia mama mtoto kama 20 hivi Ili atoke hapo Kijiji I tukutania hapo hale mama mtu anatokea Kijiji I kinaitwa KWAFUNGO
Basi bhana nikampa mama mtoto majukumu ya kutafuta sehemu ya kufikia kabisa akafanikisha kupata na kulipia kabisa. Muda ya saa4 hivi usiku naingia hale na gari kama sijakosea inaitwa taqeeb.....
Mwanaume Una Laki 180 na nyingine unadaiwa na bado unajipa safari ya kwenda Mkoa Mwingine? Mkuu kwani kusubiri upate hela ya kutosha utapungukiwa na nini.
20 umetumwa Una Baki na 160, nauli let say 20 unabaki na 140, guest house 15k na chakula 20k, Mkuu Mwanao unamwacha nini hapo?
Acheni kuzaa hovyo hivyo kama hamna Uwezo wa kulea watoto
Jamaa amenisikitisha sana mwenyewe anajiona kidume kabisa hadi anasimuliaπ€£Niseme tu umenikosha sana kwa hayo maneno
Baada ya hii comment, mtoa mada haruhusiwi kuendelea na story yake ya kimaandazi mana haitokuwa na la maana zaidi ya kusema alimla huyo mtoto wa kitanga au kingine cha kipuuzi πMwanaume Una 180 na nyingine unadaiwa na bado unajipa safari ya kwenda Mkoa Mwingine? Mkuu kwani ukisubiri upate hela ya kutosha utapungukiwa na nini.
20 umetuma una baki na 160, nauli let say 20 unabaki na 140, guest house 15k na chakula 20k, Mkuu Mwanao unamwachia nini hapo?
Acheni kuzaa hovyo hivyo kama hamna Uwezo wa kulea watoto
Alikuwa anapeleka huko huko nimemkata Moto, wanapenda Starehe na hawana Uwezo nazo.Baada ya hii comment, mtoa mada haruhusiwi kuendelea na story yake ya kimaandazi mana haitokuwa na la maana zaidi ya kusema alimla huyo mtoto wa kitanga au kingine cha kipuuzi π
Hiyo ndio bajeti yake na kama alifika akamuona mtoto wake ndio vizuri zaidi nyie mlishazaa watoto hamtaki hata kuwaona eti mje mpate hela bahati mbaya mnakula shaba za chama tawala. Kwisha habari yenu watoto wanakua bila kuwajua.Jamaa amenisikitisha sana mwenyewe anajiona kidume kabisa hadi anasimuliaπ€£
Story za kuungaunga kama hizi hua hazina la maana zaidi ya kumaliza na kulana tuu, mtoa mada aendelee kujitafutaAlikuwa anapeleka huko huko nimemkata Moto, wanapenda Starehe na hawana Uwezo nazo.
Huna hela sasa hapo Ni Starehe gani? Mawazo na stress tupu.
Jana nimekata Laki 4, One Night, Starehe yake huyo jamaa ataipata kwa miaka mitano
Mwanangu poa jibanebane ivo ivo uwe unaenda kumuona dogo janja usikae eti hadi upate hela nyingi mengine humu ni mafisadi na machawa yanakula za wizi yasikuchanganyeMwanaume Una 180 na nyingine unadaiwa na bado unajipa safari ya kwenda Mkoa Mwingine? Mkuu kwani ukisubiri upate hela ya kutosha utapungukiwa na nini.
20 umetuma una baki na 160, nauli let say 20 unabaki na 140, guest house 15k na chakula 20k, Mkuu Mwanao unamwachia nini hapo?
Acheni kuzaa hovyo hivyo kama hamna Uwezo wa kulea watoto
Hahaha sawaMwanangu poa jibanebane ivo ivo uwe unaenda kumuona dogo janja usikae eti hadi upate hela nyingi mengine humu ni mafisadi na machawa yanakula za wizi yasikuchanganye
Na demu akishazalishwa tuu, hana ubavu wa kukataa kuliwa na aliyemzalisha hata iwe vp, ahhh kikombe cha single mother kinipite aisee πKwa mazingira hayo Mkuu, inaonekana kabisa huyo Mama ni Hohe hahe lazima akubali tu
AiseeeHiyo ndio bajeti yake na kama alifika akamuona mtoto wake ndio vizuri zaidi nyie mlishazaa watoto hamtaki hata kuwaona eti mje mpate hela bahati mbaya mnakula shaba za chama tawala. Kwisha habari yenu watoto wanakua bila kuwajua.
Unashangaa au unamuunga mkono jamaa?Aiseee
Aisee usiombee hata Mwanao apitie kikombe hiki, ni majuto kwa familia nzima na Wazazi Maana ni mtihani Mgumu sio Rahisi kama ambavyo tunachukulia hapa JfNa demu akishazalishwa tuu, hana ubavu wa kukataa kuliwa na aliyemzalisha hata iwe vp, ahhh kikombe cha single mother kinipite aisee π
Niliwah kudate single mother, aisee inahitaji moyo wa chuma kuwa na hao wanawake πAisee usiombee hata Mwanao apitie kikombe hiki, ni majuto kwa familia nzima na Wazazi Maana ni mtihani Mgumu sio Rahisi kama ambavyo tunachukulia hapa Jf
Nini likitokea?Niliwah kudate single mother, aisee inahitaji moyo wa chuma kuwa na hao wanawake π