Miss_deejjah
Senior Member
- Jul 17, 2026
- 167
- 355
Tunasubr continuation...Ilipita kama miezi 10 hivi sijapata muda wa kwenda kumuona mtoto wangu ambaye nimezaa na mtoto wa kitanga
Basi bhana nikapanga safari yangu vizuri. Na nikaaga Kwa wife kwamba naenda Kusalimia mtoto.
Hii ishu ya mtoto wife anaijua. Nilikuwa niondoke jumatano jioni saa 11 hivi ila wife akanigeuka akagoma. Kuna zake aliniazima ananidai kama laki hivi Sasa sharti ni kwamba akasema Ili niende nimlipe kwanza madeni yake.
Basi bhana nikipiga mahesabu mfukoni Nina kama 180 TU ambayo inatosha TU kutoka Arusha Hadi Tanga.
Basi siku hiyo safari ikafa ikabidi niondoke kesho yake mchana hivi nikaenda zangu kupanda gari stendi kuu ya mabasi Arusha saa 8 mchana nikaondoka zangu kuelekea Tanga hapo safari inatakiwa iishie Kijiji au mji unaitwa hale nikatuma nikamtumia mama mtoto kama 20 hivi Ili atoke hapo Kijiji I tukutania hapo hale mama mtu anatokea Kijiji I kinaitwa KWAFUNGO
Basi bhana nikampa mama mtoto majukumu ya kutafuta sehemu ya kufikia kabisa akafanikisha kupata na kulipia kabisa. Muda ya saa4 hivi usiku naingia hale na gari kama sijakosea inaitwa taqeeb.....
Huyu inatakiwa mamlaka zimkamate ahasiwe.Mwanaume Una 180 na nyingine unadaiwa na bado unajipa safari ya kwenda Mkoa Mwingine? Mkuu kwani ukisubiri upate hela ya kutosha utapungukiwa na nini.
20 umetuma una baki na 160, nauli let say 20 unabaki na 140, guest house 15k na chakula 20k, Mkuu Mwanao unamwachia nini hapo?
Acheni kuzaa hovyo hivyo kama hamna Uwezo wa kulea watoto
HahahaHuyu inatakiwa mamlaka zimkamate ahasiwe.
matajirihaha alikua hawajui
Kijana rudi uendeleze stori. Usitishwe na matajiri wa JF. Humu wengi wazazi wao wangesema wasizae bila kupata hela wasingekuwepo hapa.Ilipita kama miezi 10 hivi sijapata muda wa kwenda kumuona mtoto wangu ambaye nimezaa na mtoto wa kitanga
Basi bhana nikapanga safari yangu vizuri. Na nikaaga Kwa wife kwamba naenda Kusalimia mtoto.
Hii ishu ya mtoto wife anaijua. Nilikuwa niondoke jumatano jioni saa 11 hivi ila wife akanigeuka akagoma. Kuna zake aliniazima ananidai kama laki hivi Sasa sharti ni kwamba akasema Ili niende nimlipe kwanza madeni yake.
Basi bhana nikipiga mahesabu mfukoni Nina kama 180 TU ambayo inatosha TU kutoka Arusha Hadi Tanga.
Basi siku hiyo safari ikafa ikabidi niondoke kesho yake mchana hivi nikaenda zangu kupanda gari stendi kuu ya mabasi Arusha saa 8 mchana nikaondoka zangu kuelekea Tanga hapo safari inatakiwa iishie Kijiji au mji unaitwa hale nikatuma nikamtumia mama mtoto kama 20 hivi Ili atoke hapo Kijiji I tukutania hapo hale mama mtu anatokea Kijiji I kinaitwa KWAFUNGO
Basi bhana nikampa mama mtoto majukumu ya kutafuta sehemu ya kufikia kabisa akafanikisha kupata na kulipia kabisa. Muda ya saa4 hivi usiku naingia hale na gari kama sijakosea inaitwa taqeeb.....
Wabongo wengi kwenye suala la kuzaa ovyo imekuwa kama mashindano.Mwanaume Una 180 na nyingine unadaiwa na bado unajipa safari ya kwenda Mkoa Mwingine? Mkuu kwani ukisubiri upate hela ya kutosha utapungukiwa na nini.
20 umetuma una baki na 160, nauli let say 20 unabaki na 140, guest house 15k na chakula 20k, Mkuu Mwanao unamwachia nini hapo?
Acheni kuzaa hovyo hivyo kama hamna Uwezo wa kulea watoto
Ni shida tupu mzeeWabongo wengi kwenye suala la kuzaa ovyo imekuwa kama mashindano.
Halafu hawahawa watakuja kulia matati,o hawana pesa za kulisha, kisomwsha, kutunza watoto.
Lakini ni haki yao kuongeza matatizo duniani, huwezi kuwazuia.
Nachoka mimiWabongo wengi kwenye suala la kuzaa ovyo imekuwa kama mashindano.
Halafu hawahawa watakuja kulia matati,o hawana pesa za kulisha, kisomwsha, kutunza watoto.
Lakini ni haki yao kuongeza matatizo duniani, huwezi kuwazuia.
Bora umelonga, nachoka mimiMwanaume Una 180 na nyingine unadaiwa na bado unajipa safari ya kwenda Mkoa Mwingine? Mkuu kwani ukisubiri upate hela ya kutosha utapungukiwa na nini.
20 umetuma una baki na 160, nauli let say 20 unabaki na 140, guest house 15k na chakula 20k, Mkuu Mwanao unamwachia nini hapo?
Acheni kuzaa hovyo hivyo kama hamna Uwezo wa kulea watoto
Kwa rate hii ya kuzaana ya takriban 3% kwa mwaka, kufikia mwaka 2050, idadi ya watu Tanzania itakuwa takriban milioni 140.Nachoka mimi
Mtoto wa single maza ni ngumu kutoboa huo mtego kwa sababu masingle maza wanafanya ufusika watoto wakiwa wanaona hasa wasichanaKwa rate hii ya kuzaana ya takriban 3% kwa mwaka, kufikia mwaka 2050, idadi ya watu Tanzania itakuwa takriban milioni 140.
Kuna single maza mdogo tu kwangu ana mabinti watatu alikuwa analialia hana mtu wa kumsaidia kulea watoto.
Mara paap, eti binti wake wa kwanza naye ana mimba anaenda kuzaa mwaka huu.
Sio wote, wengine walokoke mkuu.Mtoto wa single maza ni ngumu kutoboa huo mtego kwa sababu masingle maza wanafanya ufusika watoto wakiwa wanaona hasa wasichana
Daaaah hili jambo ni gumu sipati picha, ulikuwa na mke tayari i guess"baba anauliza utanioa au utalea mtoto tu". Daah nilimuonea huruma sana
Wenye mpango wa kuoa single mother kuleni chuma hichoBasi bhana nikampa mama mtoto majukumu ya kutafuta sehemu ya kufikia kabisa akafanikisha kupata na kulipia kabisa. Muda ya saa4 hivi usiku naingia hale na gari kama sijakosea inaitwa taqeeb.....
Kwa rate hii ya kuzaana ya takriban 3% kwa mwaka, kufikia mwaka 2050, idadi ya watu Tanzania itakuwa takriban milioni 140.
Kuna single maza mdogo tu kwangu ana mabinti watatu alikuwa analialia hana mtu wa kumsaidia kulea watoto.
Mara paap, eti binti wake wa kwanza naye ana mimba anaenda kuzaa mwaka huu.
Watu wanazaana kama sungura, wengi bila ndoa, bila mpango, bila kazi, bila biashara, bila uwezo wa kulea, bila elimu.
Mkuu watu hawapingi kuzaa huna hela. Wanapinga kuzaa nje, alafu kusafiri kwa mkopo wa mke wa ndani. Wewe kama mwanaume kamili unaweza tumia mkopo wa mkeo kusafiri kwenda kumuona mtoto wa nje?Kijana rudi uendeleze stori. Usitishwe na matajiri wa JF. Humu wengi wazazi wao wangesema wasizae bila kupata hela wasingekuwepo hapa.