Ilikuwaje baada ya kwenda kumuona mtoto wako wa nje?

Naked truth
 
Savanna na Terrace wamezaliwa Agha khan Africana ndo ilikuwa st Joseph Moshi.
 
Ndio uwezo wke sasa asubiri apate milion ukute kipato chenyewe ni elf saba kwa siku hebu muacheni kilamtu na maisha yake
 
😀😀😀Kilamtu na uwezo wake angekuwa ana uwezo asingekaa miez kumi bila kumuona mtoto
 
Inaonekana huyo Demu aloliwa ni Dada wa mtu humu, mbona hasira iko juu sana kwa comments. Ebu tusipangiane maisha kiasi iko.
 
Huyu jamaa ni FURUSHI
Bora ulimvyomkatisha upumbavu wake kabla hajaanza kutupa story ya kumtafutana baby mama wake..!!
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa baada ya kuona safari ya Arusha adi Tanga nilijua anatoka mtaa A kwenda mtaa B kwenye mji huo huo aliopo kumbe anavuka Mkoa? Kuna watu majasiri sana aiseeh 🤔
 
matajiri mmemkatisha jamaa asiendelee,
 
Unatudhalilisha sana jinsia ya Me
 
Mwaka 2018 nilienda Kahama kumuona mtoto niliyeambiwa ni wangu, nilimtafuta yule binti nikafika hadi sehemu aliyopanga, alikua ameshazalishwa mtoto wa pili tayari, ilikua saa sita mchana hivi, basi sikuingi hata ndani, nikamuomba anisindikize, ilikua kitendo tu cha kumuona na kuondoka, sikutaka story.

Wakati ananisindikiza yeye na yule mtoto, ikaja Bajaj nikapanda nikaachana nao, yule kijana dereva wa Bajaj neno la kwanza baada ya salam ilikua, " Duh aiseeee unafanana na yule mtoto sana, ni mwanao??" Hilo swali halitakaa linitoke akilini mwangu hadi leo.

Pamoja na yote, niliamua kumsomesha na sasa yuko darasani kwenye English medium moja pale Ushirombo. Ile kauli ya Dereva wa Bajaj ilinibadilisha sana na kuanza kuwaonea huruma maana walikuwa wakiishi mazingira magumu sana.
 
Kikubwa kaenda kumuona mtoto japo Sina imani na mke aliyemwacha nyumban, alienda nae kuliwa cku hiyo 😢
 
Huna pesa unahangaika kuzaa hovyo ili iweje mzee wangu?
 
Jamaa hata kama hana hela angalau ameona umuhimu wa kwenda kumuona mwanae, wangapi wana hela na hawahangaiki kabisa na watoto wao? Ajitahidi tu kuongeza kipato malezi ni gharama ila si kwa sababu hana hela basi ndio ampotezee mwanae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…