Ilikuwaje baada ya kwenda kumuona mtoto wako wa nje?

Hawa ndio huwa wanasababisha bodaboda wanatandika mali zao, sababu mkewe anakuwa anajua huyu ataenda kuichapa, na yeye(mkewe) anawaza jamaa huwa anamsumbua kasema atamtoa out akale biambili na kuku wa kienyeji kisha baada ya majamboz atampa 35.Mke anaenda kutoa hasira.

Kuna jamaa mkewe anachapwa na dogo janja kwa sababu katembeza rungu nje mi napata habari in both ends daah hili life, dogo ananiambia anavyoikamia mpaka ina squirt, na mke wa msela ananiambia anavykolea huku akisikitika ni kosa. The Saga Continue
 
Yaani kwakweli baadhi ya Wanaume hatuwatendei Haki wanawake zetu, huyo jama alitakiwa ajipange kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…