Uchaguzi 2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

Magufuli ni kiongozi muongo muongoo, mbabaishaji babaishaji na mtu anayefika bei haraka sana!
Sana na wana tabia ya kuweka watu jela wakikosa ushahidi huishia kuwambia wakiri kosa walipe pesa watoke jela, Yaani jela imekuwa biashara sasa badala ya kuwa chuo cha mafunzo ya Nidhamu
 
UNBELIEVABLE....

Nilikuwa sifahamu hili!!!

Yaani Deo Mwanyika, achilia mbali suala la kufunguliwa kesi ya uhujumu wa uchumi, kwa upande mwingine amekuwa bosi wa Acacia tangu enzi inaitwa African Barrick Gold!!

Yaani bosi wa Acacia/African Barrick Gold ile ile ambayo serikali ya Magu ilituambiwa hao jamaa ni majizi makubwa kuwahi kutokea katika medani ya wizi wa dhahabu Tanzania, leo hii bosi huyo huyo anapewa dhamana na serikali ile ile kuwakilisha maslahi ya wananchi na taifa kwa ujumla!!!

Tukisema Magufuli hana nia yoyote ya kupambana na ufisadi, kuna mamburula utaona wanakuja juu!!!!
 
Ukilipa ukiomba msamaha haiondoi kuwa ulikutwa na hatia, Sana unathibitisha kufanya kosa, kukili kosa nikuthibitisha kufanya kosa hakuondoi hukumu ndomana alilipa,
Wengi hulipa pesa watoke jela hata kama hawana makosa imekuwa ni biashara sasa
 
Ni aina mpya ya biashara huwakamata kuwaweka ndani mda mrefu kisha hulazimishwa kukiri kosa kisha kulipishwa pesa unaachiwa, rugamalila na seth waligoma ndiyo maana mpaka leo wapo jela
 
Drama za Magufuli ni nyingi utafikir katibu Mwenezi....
 
Hivi huyu hawezi kuwekewa pingamizi la kukosa sifa ya kuchaguliwa kama kiongozi wa kisiasa kwa kupatikana na hatia mahakamani ya utovu wa maadili?
Kusema kweli kisheria anabebeka bado kwa sababu hakufungwa wala hakukutwa na hatia yani aliyamaliza na DPP kama Mkuu alivyoshauri kuwa wahujumu uchumi wakikiri kosa wasamehewe
 
Ni aina mpya ya biashara huwakamata kuwaweka ndani mda mrefu kisha hulazimishwa kukiri kosa kisha kulipishwa pesa unaachiwa, rugamalila na seth waligoma ndiyo maana mpaka leo wapo jela
Halafu unajua Ruge, nilishahisi in advance kwamba hawezi kukubali kufanywa msukule lakini Seth, hasa kwa kuzingatia tatizo lake la kiafya, sikutarajia kabisa!!
 
Deodatus Mwanyika alikuwa Attorney General lini ?
 
Kuna majibu tayari unayo na uneyatoa.
Ni UNDERCOVER mission accomplished
 
Magufuli ni kiongozi muongo muongoo, mbabaishaji babaishaji na mtu anayefika bei haraka sana!
Magu n very cheap akiwa ofisn action n zingine akitoka the ya ofis mikwara kibao ana pretend kuwa hapendi rushwa kumbe mchukua 10% namba moja
 
Ina maana basi hana moyo wa kuridhika huyu kiumbe,,
Wanadamu bana,,una hela unatafuta stress za kazi gani?,ulafi wa madaraka haujawahi kuacha mtu salama,,
Ndo maana wanawekeana sumu na wanakufa bila kujua...n kama Dr Kimei yan umekua CEO CRDB bado unataka ubunge ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…