Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliyemqoute hakusema Attorney General Deodatus Mwanyika, alisema Attorney General Mwanyika akijua watu ni waelewa wanajua ni huyo Johnson. Soma vizuri alichokiandika chote utaelewa.Johnson Mwanyika na Deodatus Mwanyika ni mtu mmoja?
Kuna mambo ambayo ukishakuwa nafasi ya juu ya nchi huwezi kushangaa,uelewa wako ni zero katika nchi kuna watu wanaweza kutumika kama ngao,chambo au kafala ukiwa unaongoza taifa kuna kitu kinaitwa maslai ya taifa huyu alikuwa muajiliwa lakini inawezekana aliamua kuwa sehemu ya serikali kueleza siri .Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi.
Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake ambayo ilikuja kufanya kazi Sept 2017 kuwa kuna wasaliti katika vita na wanajeshi wanajua msaliti wanamfanyaje?.
Ikiwa mtu alihukumiwa palipo shaka kuwa alikwepa kulipa kodi na kupigwa ya bilioni 2 je kwa hayo makando ya uhujumu uchumi na kukwepa kulipa kodi na kuhukumiwa bado anafaa.
Au huyu mwanyika pale Mgodini alikuwa ni Afisa Kificho(undercover) au alikuwa Afisa Kipenyo (penetration officer) au ndo kama yule DSO wa Ngorongoro alokamatwa na kwa kuhongwa magari na Mwarabu na hatujasikia tena kesi yake.
Sitaki kusemea sheria na katiba ila naomba tusemee utamaduni wetu na Rais wetu anaepambana na mafisadi ni kweli Mkuu anapambana na mafisadi majizi na wala rushwa au ni selective nani aachwe nani afungwe.
Kama niliyemsema siye na majina yamefanana nitangulize msamaha.
Kwahiyo uliponiuliza umri wangu ulitaka kujua nini ?Uliyemqoute hakusema Attorney General Deodatus Mwanyika, alisema Attorney General Mwanyika akijua watu ni waelewa wanajua ni huyo Johnson. Soma vizuri alichokiandika chote utaelewa.
Deo Mwanyika hajawa. Lakini muelezaji aliposema Attorney General Mwanyika, wewe ukauliza habari za Deo Mwanyika kuwa Attorney General. Kama ungekua unajua kuna Mwanyika ambaye ni Johnson amewahi kuwa Attorney General, usingepata shida hiyo. Nadhani utakua umeelewa sasa. Gonga LIKE mkuu.Nataka kukuuliza Deo Mwanyika amewahi kuwa AG ?
Wewe unafikiri nilikuwa sijui kuwa AG alikuwa ni Johnson Paulo Mathias Mwanyika ?Deo Mwanyika hajawa. Lakini muelezaji aliposema Attorney General Mwanyika, wewe ukauliza habari za Deo Mwanyika kuwa Attorney General. Kama ungekua unajua kuna Mwanyika ambaye ni Johnson amewahi kuwa Attorney General, usingepata shida hiyo. Nadhani utakua umeelewa sasa. Gonga LIKE mkuu.
Nilitaka kujua kama una umri ambao inawezekana wakati Johnson Mwanyika akiwa AG ulikua mtoto mdogo au ulikua hujazaliwa, maana si yote tunaweza kuyajua kwa kuyasoma kama historia. Kwa sababu huyo Johnson alikua AG kipindi cha nyuma kidogo.Kwahiyo uliponiuliza umri wangu ulitaka kujua nini ?
Kwani kipimo cha uelewa kwako ni umri pekee ?Nilitaka kujua kama una umri ambao inawezekana wakati Johnson Mwanyika akiwa AG ulikua mtoto mdogo au ulikua hujazaliwa, maana si yote tunaweza kuyajua kwa kuyasoma kama historia. Kwa sababu huyo Johnson alikua AG kipindi cha nyuma kidogo.
Kwani ili ujue jambo fulani lazima uwe umezaliwa wakati jambo husika linafanyika/kutokea ?Nilitaka kujua kama una umri ambao inawezekana wakati Johnson Mwanyika akiwa AG ulikua mtoto mdogo au ulikua hujazaliwa, maana si yote tunaweza kuyajua kwa kuyasoma kama historia. Kwa sababu huyo Johnson alikua AG kipindi cha nyuma kidogo.
Mkuu naona unapenda ligi. Niseme tu "ulikua unajua" maana hadi "umejua" majina yake yote[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wewe unafikiri nilikuwa sijui kuwa AG alikuwa ni Johnson Paulo Mathias Mwanyika ?
Hili ndiyo jibu la swali nililouliza ?Mkuu naona unapenda ligi. Niseme tu "ulikua unajua" maana hadi "umejua" majina yake yote[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Daah kwann sasa
Basi nimeiona ifute sasa
umeanza kujinadi laivu laivu!!?Personally namfahamu Deo, sijui huko kwenye makashfa ya Acacia Kama Kuna ukweli au lah, Ila ni mmoja wa watu nilio enjoy nao kufanya kazi nae, ana utu na ana vinasaba vyote vya kutosha kua kiongozi, nimefurahi kuona anasimama Njombe, na ni mtu anaekubalika mno, Hilo Jimbo tayari Deo ni mbunge,
Namuombea mafanikio awe sehemu ya mawaziri endapo ccm watachukua nchi.
Wewe ni takataka. Umesoma kichwa cha habari badala ya habari.PUNGUZA MIHEMKO NA UONGO. WA NJOMBE NI DEO SANGA NA WA ACACIA NI DEO MWANYIKA.