Uchaguzi 2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

Uchaguzi 2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

hukumu ilikuwaje?tuanzie hapa?
inawezekana walikoksekana watu wa kupeleka taarifa kama wewe.
 
Usishangae ikiwa ile mahakama ya ufisadi ikibadilishwa na ccm kuwa kanisa au msikiti- hawa jamaa hawatabiriki mbele ya pesa
 
Johnson Mwanyika na Deodatus Mwanyika ni mtu mmoja?
Uliyemqoute hakusema Attorney General Deodatus Mwanyika, alisema Attorney General Mwanyika akijua watu ni waelewa wanajua ni huyo Johnson. Soma vizuri alichokiandika chote utaelewa.
 
Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi.

Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake ambayo ilikuja kufanya kazi Sept 2017 kuwa kuna wasaliti katika vita na wanajeshi wanajua msaliti wanamfanyaje?.

Ikiwa mtu alihukumiwa palipo shaka kuwa alikwepa kulipa kodi na kupigwa ya bilioni 2 je kwa hayo makando ya uhujumu uchumi na kukwepa kulipa kodi na kuhukumiwa bado anafaa.

Au huyu mwanyika pale Mgodini alikuwa ni Afisa Kificho(undercover) au alikuwa Afisa Kipenyo (penetration officer) au ndo kama yule DSO wa Ngorongoro alokamatwa na kwa kuhongwa magari na Mwarabu na hatujasikia tena kesi yake.

Sitaki kusemea sheria na katiba ila naomba tusemee utamaduni wetu na Rais wetu anaepambana na mafisadi ni kweli Mkuu anapambana na mafisadi majizi na wala rushwa au ni selective nani aachwe nani afungwe.

Kama niliyemsema siye na majina yamefanana nitangulize msamaha.
Kuna mambo ambayo ukishakuwa nafasi ya juu ya nchi huwezi kushangaa,uelewa wako ni zero katika nchi kuna watu wanaweza kutumika kama ngao,chambo au kafala ukiwa unaongoza taifa kuna kitu kinaitwa maslai ya taifa huyu alikuwa muajiliwa lakini inawezekana aliamua kuwa sehemu ya serikali kueleza siri .
 
Uliyemqoute hakusema Attorney General Deodatus Mwanyika, alisema Attorney General Mwanyika akijua watu ni waelewa wanajua ni huyo Johnson. Soma vizuri alichokiandika chote utaelewa.
Kwahiyo uliponiuliza umri wangu ulitaka kujua nini ?
 
Nataka kukuuliza Deo Mwanyika amewahi kuwa AG ?
Deo Mwanyika hajawa. Lakini muelezaji aliposema Attorney General Mwanyika, wewe ukauliza habari za Deo Mwanyika kuwa Attorney General. Kama ungekua unajua kuna Mwanyika ambaye ni Johnson amewahi kuwa Attorney General, usingepata shida hiyo. Nadhani utakua umeelewa sasa. Gonga LIKE mkuu.
 
Wewe unafikiri nilikuwa sijui kuwa AG alikuwa ni Johnson Paulo Mathias Mwanyika ?
 
Kwahiyo uliponiuliza umri wangu ulitaka kujua nini ?
Nilitaka kujua kama una umri ambao inawezekana wakati Johnson Mwanyika akiwa AG ulikua mtoto mdogo au ulikua hujazaliwa, maana si yote tunaweza kuyajua kwa kuyasoma kama historia. Kwa sababu huyo Johnson alikua AG kipindi cha nyuma kidogo.
 
Kwani kipimo cha uelewa kwako ni umri pekee ?
 
Nilitaka kujua kama una umri ambao inawezekana wakati Johnson Mwanyika akiwa AG ulikua mtoto mdogo au ulikua hujazaliwa, maana si yote tunaweza kuyajua kwa kuyasoma kama historia. Kwa sababu huyo Johnson alikua AG kipindi cha nyuma kidogo.
Kwani ili ujue jambo fulani lazima uwe umezaliwa wakati jambo husika linafanyika/kutokea ?
 
Wewe unafikiri nilikuwa sijui kuwa AG alikuwa ni Johnson Paulo Mathias Mwanyika ?
Mkuu naona unapenda ligi. Niseme tu "ulikua unajua" maana hadi "umejua" majina yake yote[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kaka hayo ndiyo maajabu ya CCM !! leo asubuhi unaweza kuitwa BEBERU mchana ukawa MUHISANI na usiku ikatiwa BEBERU tena.
 
kila anachofanya Jiwe nkinatokana na hisa zake bovu. Kwenye ile clip maarufu ya kabla ya 2015 ambayo na Charles Kitwanga yupo, Jiwe alisikika akisema kuwa madini yanaibiwa kupitia mchanga unaosafirishwa nje ya nchi nakwamba akiwa Raisi watu watalimia meno.

Baada ya kuwa Rais akataka ku-prove kuwa hypothesis yake iko kweli ndipo akaunda tume ya Prof Mruma na Prof Osoro. Kiukweli Tume ya Prof Mruma ilikuta kuwa kontaina la 20ft lina 0.7Kg ya madini ya dhahabu na silver. Na kiasi hicho ndiyo kimekuwa kikilipiwa na ACACIA/ Barrick kodi sahihi kuanzia 1998.

Kwa vile Jiwe alidhani tunaibiwa madini wakati si kweli akaichakachua ripoti ya Prof Mruma na kuandika kuwa kuna 7.0 Kg kwa kila container. Hapa ndiyo ile hoja ya ACACIA kukwepa ushuru wa USD 190 bilioni au Tsh 450 Trillioni ndipo ilipojitokeza. Hiki kitu Tundu Lissu aliita professorial rubbish kwa kuwa ni uzandiki mtupu. Na kweli hatujapata hiyo Tsh 450 Trilion aka Noah moja kwa kila Mtanzania.

Hicho ndiyo chanzo cha Tundu Lissu kupigwa risasi, ACACIA kuambiwa wameiba na akina Deo Mwanyika kufunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi na kutakatisha fedha.
Zaidi ya wivu wa Jiwe kwa Mwanyika kuhusu mshahara wake mkubwa alio negotiate, yote yaliyofanywa kwa Deo Mwanyika na wenzie ni nyanyasaji tu!! Deo Mwanyika yuko clean tu
 
Utajuaje labda yeye ndiye alitoaga sir za accacia je...bila wao accacia kujua kuwa wana agent ndan ya mgod...deep state...vichwa maji mtaelewaje
 
Personally namfahamu Deo, sijui huko kwenye makashfa ya Acacia Kama Kuna ukweli au lah, Ila ni mmoja wa watu nilio enjoy nao kufanya kazi nae, ana utu na ana vinasaba vyote vya kutosha kua kiongozi, nimefurahi kuona anasimama Njombe, na ni mtu anaekubalika mno, Hilo Jimbo tayari Deo ni mbunge,

Namuombea mafanikio awe sehemu ya mawaziri endapo ccm watachukua nchi.
umeanza kujinadi laivu laivu!!?
 
Back
Top Bottom