Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hazina mantikiNchi pekeeambayo historia yake haiwekwi wazi kwa vizazi hadi vizazi na kubaki na kazi ya kulisha vizaze vyake historia za nchi za watu
Jamani historia sio tu ya mambo maazuri ya kusaidia ukombozi wa nchi nyingine bali hata yale ambayo hayatufurahishi.
Kuna haja ya historia kama hii kufundishwa kwenye mashule siyo kuleteana mambo ya kina sijui ndiyo wa kina Mansa Kan Kan Musa wakati kwetu kumbe kuna historia iliyoshiba sema inafichwa.
Kuna ile nyingine nayo ya uasi wa Jeshi...Imefiiiiichwaaaaaa.....fundisheni hizi kwenye masomo ya historia ya taifa letu bwana sio kuzificha na kutujia na sifa za kina Mkwawa tu
Hii ishu ndo kwanza naisikia. Wenyeji wa huko mtuelezee vizuri ilkuwaje hadi huyo jamaa akaamua kuitangaza hiyo jamhuri?
Nyamhanga aliteremsha Bendera ya Tanzania na kupandisha ngozi ya chui na kutangaza rasmi kuwa hiyo si tena Tanzania , kuanzia siku hiyo majeshi yalikusanywa nchi nzima kama vile kulikuwa na vita ya Kagera.
Mapambano yaliendelea kwa siku zipatazo 7 hivi kabla ya Nyamhanga kupitia chini ya nyuma ya mtungi na kupotelea bondeni.
Kama ilivyokuwa kwa Hitira kuna habari za kutatanisha kuhusu huyu bwana baada ya vita kwisha. Kuna wengine wanasema yalitupwa mabomu mengi sana huko alikokimbilia na wengine wanasema alitorokea nje ya nchi.
Kuna Simulizi nyingi tu ambazo siwezi kuziandika hapa hasa kwa sababu zinahusiana na ushirikina wake, nami sina imani na ushirikina.
Pumba tupu! Mtu mwenye akili timamu hawezi kuandikaa uwozo huu.Mtu anayejua historia ya mkoa wa mara ambao kuna kipindi ulijitenga ukaanzisha jamuhuri ya watu wa chui aweke hapa
Akili yako imefunikwa na ukungu hadi unashindwa kujitambua?Pumba tupu! Mtu mwenye akili timamu hawezi kuandikaa uwozo huu.
nafikiri walishalipiza na wao walipotumwa Zanzibar kutuliza ghasia.Nakumbuka jinsi vijana kutoka visiwani walivyopora mali za wana-Mara na kuwafanyia manyanyaso yasiyo na kifani.