Ilikuwaje Mkoa wa Mara ukaitwa 'Jamhuri ya Watu wa Chui'?

naona kama bado nataka kufahamu juu ya hii kitu jamani mwenye maelezo zaidi aweke plz
 
hazina mantiki
pia zinachochea uovu tu!!
kwa sababu binadamu wenye mawazo kama ya hao watu wapo, kwahiyo utakapomfundisha mwanafunzi unamjengea hali ya kuwa "kumbe inawezekana eeh"

baada ya miaka unakuta wamejaa wa hivo tele
 
Kwa kweli baada ya vita vya kagera, bunduki nyingi tu zilisafirishwa kwenda bwerege. Kiasi cha silaha kilikua juu kiasi kwamba silaha ingenunuliwa kwa ng'ombe mmoja. Silaha hizo zilisambaa hadi hapa Kenya na ndizo zinazotumika kwa operesheni ambazo siezi kuzitaja. Itakua ni kuisaliti jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna vidume sana huu mkoa wenye kanda maalum. Nikikumbuka tu wazee wa Mara wanaoishi musoma mjini uwa napamisi sana......
 
Mara pia wametoka makamanda wengi walioliongoza jeshi letu kwa umahiri na weledi mkubwa katika nafasi mbalimbali walizokuwa nazo.
 
Mtu anayejua historia ya mkoa wa mara ambao kuna kipindi ulijitenga ukaanzisha jamuhuri ya watu wa chui aweke hapa
Pumba tupu! Mtu mwenye akili timamu hawezi kuandikaa uwozo huu.
 
Kuna mjinga mmoja kutoka Mara ndio alikuwa anajiita IDD AMIN wa pili, alishauaga Chui ndio akaona kuwa anaweza kuua yeyote yule.

Kuna kipindi alipandisha ngozi ya chui aliyemuua juu na kushusha bendera ya Taifa...sasa kwasababu Wajinga walikuwa wengi wakati huo basi wakawa wanamsifia tuu na kumtukuza kwa huo ujinga

Kwa jamii ilivyostaarabika sasahivi asingefikia kupata hizo credit za kijinga.
 
Ukanda wa Tarime imepitia vita vingi sana na ni sehemu pekee ndani ya Tanzania imeshuhudia vita ya wenyewe kwa wenyewe au koo kwa koo.
Mara Warienchoka na sijui watu gani
Wajaluoa sijui na wakurya
Ikapigwa tena vurugu kali sana kule Mererani kati ya Wajaluo na Wasonjo.
Bado sijaona kama suluhu ya kuanzishwa kanda maalum ya Tarime Rorya kama ndo suluhisho; japo naona dalili ya hizo koo/jamii hizo kuamishia vita yao dhidi ya polisi kwani kumekua na unyanyasaji wa hali ya juu.
 
Kwa anayejua Ile kambi ya kijeshi ya fort ikoma ni kwa Nini ilihamishwa toka huko na ikafutwa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…