Ilikuwaje Nyerere akamshinda Sykes?

Wewe na huyo unaemjibu mnatofautiana katika tafsiri ya maana ya dini! ... dini kwako wewe ni kukiri imani sahihi ni ipi wakati huyo unayejadiliana nae kwake tafsiri ya dini ni mfumo wa maisha ya mwanadamu. So ukiangalia kimaana mnajadali vitu viwili tofauti kabisa katika jina moja, kamwe hamuwezi kufikia muafaka isipokuwa mtakwazana tu wakati kila mmoja yupo sahihi kulingana na mafundiso ya dini yake.

What you guys are missing (na hii ni mostly upande wa Christians) ni kuto-acknowledge na kutambua hoja za Waislamu dhidi ya mfumo kandamizi dhidi ya Uislamu uliotengenezwa kipindi cha awamu ya kwanza (nasema hivo kulingana na hoja zinazotajwa kuwa na uzito wa kustahili kusikilizwa). Hapa ni lazima mambo yajadiliwe kwa hoja na sio ushabiki.

Kufumbia macho manung'uniko ya upande mmoja ni kulea tatizo linalokuwa siku hadi siku.
 
Inawezekana Sykes alikuwa kilaza
 
Hilo haliwezekani,labda kwa watoto ambao hawajazaliwa bado ndiyo tuwaandalie mapito yasiyo na udini
Mapito haya ya udini yana chimbuko hayajatokea tu, na ukiangalia wenye malalamiko hawadai kufanyiwa favor bali wanalalamikia uonevu. So ni busara ku-address malalamiko yao katika kipimo cha sawasawa. Ikiwa kweli kuna makosa yalifanyika nyuma turekebishe coz sote hapa sio tuliofanya hayo makosa, na ikiwa malalamiko ni miss understanding tu basi tujadiliane kwa hekima mpaka wenye malalamiko wauone ukweli na waridhike.

Tukishindwa sisi tutegemee watoto wetu wawe katika hali mbaya zaidi. Sisi tuliozaliwa miaka ya 80s tumekuwa na kucheza pamoja bila kujali dini kwa kuwa wakati ule hatukujadili sana haya mambo, ni rahisi kabisa kukuta katika sisi mabest friends zetu ni wa dini tofauti sisi, lakini kwa sasa haya mambo yanavyojadiliwa na kuchukua hisia za watu kuna hatari watoto zetu ama wajukuu zetu wasiamiliane na wale wa imani tofauti na zao, na hapo tutakuwa pabaya sana kama taifa.
 
Kwa hivyo wale wazee wa Anatoglou waliokuwa wanapambana dhidi ya mwingereza walimchagua Nyerere kwa maelekezo ya mwingereza?. Nadhani umetoka nje ya mada.
Wasingepata uhuru ng'o bila ya kibaraka Nyerere
 

Hii ilikuwa kabla ya Ukabila, Udini na Ukanda .... Kushamiri.
 
Uchaguzi unaojadiliwa hapa ni wa TAA na siyo TANU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…