Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Alooo na third year yako ndio unatuandikia hivi kweli? Mwal kibibi alipokuwa anafundisha somo la mwandiko my dear ulikuwa wapi?

Mwandiko mbaya bana unachefua macho, uwe unaweka space ukiandika na ni lazima sio ombi.
Teacher wa advance cool down madam. Kidogo tu umepanic mwanafunzi wako alivyoanika alikumega akiwa advanced. (Natania teacher. [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Mi natafuta vumbi la kongo original..kuna ke wa Mchungaji ananichekea chekea ilihali mimi hata kanisa silijui ..so naomba mwenye contact la Vbi og AniPm tafadhari pia nashida sana na Khantwe
Looh...! Looh...! Mdogoangu achana na huyo mke wa mchungaji atakuletea mkosi tu. Mke wa mchungaji na hawa masister wa roma kaa nao mbali. (natania)
 
Teacher wa advance cool down madam. Kidogo tu umepanic mwanafunzi wako alivyoanika alikumega akiwa advanced. (Natania teacher. [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
😂😂😂 namsubiri aje anijibu
 
Mkwara mbuzi
Najua unatembea sana na wake za watu ila kuwa makini maana unatafuta balaa. Yule jamaa wa The mafiki unafikiri ni kitu gani kilimpata? Kamuulize Babu Seya na wanawe
Endelea kutafuna wake za watu wanyonge kuna wengine siyo wanyonge na utajikuta unapotea mapema unawaacha watu hapa duniani kwa starehe ya muda mfupi. Huyo ni mke wa mtu kwahiyo ni mali ya mtu na ukicheza na mali ya mtu. Utapigwa kama mwizi
Endelea kula wake za wanyonge tu maana hao hawana shida.
 
Sasa si ungeowa kabisa ama
 
Mwambie mwenzako,among haifuatani na 'OF',au Phd za huko nazo nikama ya mzee BABA wa jumba JEUPE?
Kumbe kwanini ukiwa unafanya master's au PhD lazima dissertation au thesis uipeleke kwa grammar checkers,,,,,,????? Sio kila mmoja n mtaalamu wa kiingereza kijana.....!!!!
 
Aiseeeee
 
Kumbe kwanini ukiwa unafanya master's au PhD lazima dissertation au thesis uipeleke kwa grammar checkers,,,,,,????? Sio kila mmoja n mtaalamu wa kiingereza kijana.....!!!!
Ukijua hivyo,unatakiwa uchague lugha ambayo unaimudu kuwasilisha yale ambayo wewe unataka kuwasilisha,usitumie lugha ambayo itakufanya ufanye makosa mengi ya lugha husika.Hiyo tabia ipo hata kwa mkubwa wa NJI hii.
 
Mgongo wake ulinichanganya,kumtupia ndoana akawa mkali lkn nikakomaa naye mpaka akakubali yaishe akaliwa,nilimpiga chini baada ya kuniambia nimle ndogo,bado kidogo nimuitie polisi wamkamate.
Nalog off
Mgongo au mkia,,,,alijua mkia wake umekuchanganya ndo maana alitaka kukupa washeli
 
Nilimla mke wa mtu kizalzal tu mwaka wa kwanza, first semista yote nmemla, kanipikia, kanifulia na kalala Sana geto.

Siku moja nligundua jina analotumia chuo si jina lake halisi, nilipomsach fb kwa jina lake, nakuta mapicha ya harus na mmewe na picha za mtoto wao anamiaka mitatu

Wanawake bwana aliniambia ye n singo maza, Kuna jamaa alimzalisha akakataa mimba.

Nliamua kumbwaga japo alinisumbua Sana. Hawa viumbe bana waajab sana
 
sasa huono utaumiza watu,maana kuna wanawake wwngine anakwambia mm si mke wa mtu au tumeachana au vile hawi muwazi;baharia unajiachia ngoma tunduni mzigo D unang'ang'ania.
 
Ukijua hivyo,unatakiwa uchague lugha ambayo unaimudu kuwasilisha yale ambayo wewe unataka kuwasilisha,usitumie lugha ambayo itakufanya ufanye makosa mengi ya lugha husika.Hiyo tabia ipo hata kwa mkubwa wa NJI hii.
We tambua kuna PhD candidates kibao n master's candidates wa kutosha lugha inawachemsha balaa....!!!!case clased
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…