Anti-Hacker
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 803
- 1,233
Ambao hatujawahi kula wake za watu tunasoma comments tu na kupita [emoji23]
ongeza wahaya, wanyamwezi, waruguru, wabende, wakonongo, wangoni.
kuna toto la kirangi jeupeee tamu hilo nilikua nalimezea mate kuja kuuliza majirani zaidi ya 6 wamelivua chupi. nkachoka zaid baada ya kufahamu kuna watoto flani wametia magovinda yao
Msamehee tu, na ww si ushakula mke wa jamaa
Umeshaondoka mwanza?Mwezi uliopita nilikuwa mwanza katika matembezi nikakutana na mmama anatembeza karanga za kuchemsha alikuwa ni mjaluo ana mzigo sanchoka akasome afu mweusi,nilimpita nikampa salamu ila nilipofika mbele ikabidi nigeuke alipofika mbali kidogo nilirudi nikaanza mfatilia nyuma nyuma kuanzia mitaa ya Ghana hadi karibu na nera zilipo ofisi za halmashauri,wakazi wa mwanza watakuwa wanapafahamu. Nilipomfikia nikaanza kuzuga na stori na hakuonesha kushoboka wala nini, ikabidi niingie na gia ya kununua karanga zote.kufupisha stori alinipa namba kwa sharti la kutompigia kuanzia saa 12 jioni kwani mumewe anakuwepo. Kesho yake nilimpanga tukaonana mitaa ya kilimahewa akaingia gesti na karanga zake nikala mzigo.
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Wee zoba kweliNilimla mke wa mtu kizalzal tu mwaka wa kwanza, first semista yote nmemla, kanipikia, kanifulia na kalala Sana geto.
Siku moja nligundua jina analotumia chuo si jina lake halisi, nilipomsach fb kwa jina lake, nakuta mapicha ya harus na mmewe na picha za mtoto wao anamiaka mitatu
Wanawake bwana aliniambia ye n singo maza, Kuna jamaa alimzalisha akakataa mimba.
Nliamua kumbwaga japo alinisumbua Sana. Hawa viumbe bana waajab sana
Duuuh kwa hiki kingereza ulichoandika hapa hao Ma Prof wa Texas waliweza kuelewa Thesis yako ya PHD???[emoji23]I was in texas when i was taking my Phd among of the universities in Town.
So i met someone we were so in love i was giving him to much support in our studies and in everything but when we are nearly finish our last semester he asked me to come in a good restaurant to talk and he ask me if i love him so much i told him yes and he apologise and tell me that he was married 2 kids.
I apologise and I left and thats was my finale love with married men.
Patricia story
Volume haitoshi ongeza kdgoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hujui wajanja walitegua siku nyingi sana?Ukitembea na mke wa mtu, ujue wewe muda wote unaweza kufa.au chochote kibaya kinaweza kukuta. Unaweza chomeka mkang'ang'aniana hapo na jamaa anataka milioni 3. Mimi mke wangu nimemuweka dawa yaani jamaa mwingine akichomeka mashine tu. Haifanyi kazi milele ndiyo unakuwa hanithi hivyo. Siku ukinitafuta niirudishe ifanye kazi inabidi nikupige mashine siku nzima yaani masaa 12. Unatoa hela ya KY, Chumba cha guest na hela ya chakula, maji na ukubali kurekodiwa kipindi unapigwa show. Tofauti na hapo tusijuane
Kiongozi, unataka kula peke yako? Mkeo huyo?ongeza wahaya, wanyamwezi, waruguru, wabende, wakonongo, wangoni.
kuna toto la kirangi jeupeee tamu hilo nilikua nalimezea mate kuja kuuliza majirani zaidi ya 6 wamelivua chupi. nkachoka zaid baada ya kufahamu kuna watoto flani wametia magovinda yao
Hata mke ukioa umewasaidia na mabachelor wa jiranKiongozi, unataka kula peke yako? Mkeo huyo?
Duh ngoja niahirishe mpango wangu. Nilikua na ndoto na hilo kabilaongeza wahaya, wanyamwezi, waruguru, wabende, wakonongo, wangoni.
kuna toto la kirangi jeupeee tamu hilo nilikua nalimezea mate kuja kuuliza majirani zaidi ya 6 wamelivua chupi. nkachoka zaid baada ya kufahamu kuna watoto flani wametia magovinda yao
Mkuu tafuta na ww PhD naona alivo sema anasoma PhD povu limeanza kukutoka,Ukijua hivyo,unatakiwa uchague lugha ambayo unaimudu kuwasilisha yale ambayo wewe unataka kuwasilisha,usitumie lugha ambayo itakufanya ufanye makosa mengi ya lugha husika.Hiyo tabia ipo hata kwa mkubwa wa NJI hii.
Huyo atakuwa MEMUKWAAisee yaani primary ushaanza kutembeza rungu mkuu, noma sanaa
Point takenMsamehee tu, na ww si ushakula mke wa jamaa
Dah kweli, maana hata mimi nilikuwa nachukulia kawaida watu wanaposimulia kula wake za wenzao.Asilimia kubwa ya watu wanaokiri kuwala wake za watu hapa wanaonekana hawajaoa.Ngojeni muoe nanyie malipo duniani hapahapa
Pole sana ,sema nini...Dah kweli, maana hata mimi nilikuwa nachukulia kawaida watu wanaposimulia kula wake za wenzao.
Ila tangu nimeoa, hili jambo linaniuma sana, tangu nimeanza kisoma uzi huu nawafikiria tu wapangaji wenzangu ma bachelor na mke wangu. Najisemea tu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Binafsi mwaka jana mwez wa pili walikuja walimu wa field shulen, sasa kwenye kuangalia namna ya kusajili mali mpya nikaona kifaa kimoja cha kinyaturu, mtoto mkali kweli kweli, nikatupia voko akajaa, akawa anakuja geto anapika tunakula nae aliwa nikawa kama nimeoaa kabsaa
Baada ya kama miez miwil nikagundua alikuwa mke wa OCS kituo fulani na alikuwa na mtoto mmoja wa miaka miwili, nilistuka nikapiga chini fasta japo demu alijifanya kupandisha mpaka maruaniii.
Daa mpaka leo naogopa kupima umeme maana tabia za askari..
Anajifanya mtakatifu unadhani anaweza comment misala yake halafu akammention mahondawMzee baba una RB,
Unataka kunambia hujawai kupiga kweli muke ya mutu [emoji28]
Kiswahili sahihi, Ilikuwaje hadi ukala mke wa mtu au ukaliwa na mme wa mtu?Binafsi mwaka jana mwez wa pili walikuja walimu wa field shulen, sasa kwenye kuangalia namna ya kusajili mali mpya nikaona kifaa kimoja cha kinyaturu, mtoto mkali kweli kweli, nikatupia voko akajaa, akawa anakuja geto anapika tunakula nae aliwa nikawa kama nimeoaa kabsaa
Baada ya kama miez miwil nikagundua alikuwa mke wa OCS kituo fulani na alikuwa na mtoto mmoja wa miaka miwili, nilistuka nikapiga chini fasta japo demu alijifanya kupandisha mpaka maruaniii.
Daa mpaka leo naogopa kupima umeme maana tabia za askari..