Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Hii kitu ya kumwingilia mwanamme mwenzako huwa sielewagi,watu wanaona kama jambo la kawaida,lakin binafsi naona lazima mtu anaefanya hiv nae ana vi ishara vya ushoga.Mwanamme hawezi kudisa mpaka atamani,na kutamani kumwingilia dume mwenzako kwa sababu yeyote ile ni kuvutiwa na mwanamme mwenzako, aka ushoga.
 
Wengine tu mchepuko ya kudumu ya wame za watu hata tuna sema nini sasa! !!!! Ni kusoma na kupita kimya kimya


Cc Smart911

Huu uzi mwanzo umenichekesha..ila nimeuchukia Ghafla

Liuzi hata halijabalanc .....

Ivi wanawake wa humu nikweli hamjawah kuliwa na Waume za watu???

Shushen nondo basi hapa uzi unoge
 
fungua uzi wako tutakusaidia
 
ha ha ha ha ha
 
vipi ulitumia condom?
 
Mh mkuu wanyaturu,wanyeramba,warangi na wamanyara hawa wagawaji sana.
Yani ukioa hayo makabila jua umeolea kijiji ama mtaa.
Siyo kweli, Kwani Wachaga Siyo Malaya? Wanyakyusa Siyo Malaya? Wahaya Siyo Malaya? Waswahili wa Pwani Siyo Malaya? Wazungu Siyo Malaya? NA WEWE MWENYEWE SI NI MALAYA, KWANI NA WEWE NI MNYATURU, AU MNYIRAMBA AU MRANGI????

Usiongee hisia inawezekana Hao Ndo Watu uliokutana nao hujakutana na makabila mengine, KILA KABILA NA KILA MTU HUGEUKA KUWA MALAYA KWA WAKATI FLANI, NA WAKATI MWINGINE NI PREJUDICE TU AGAINST OTHER PEOPLE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…