Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

kuna mke wa MTU mmoja hivii...anachofanya anaanza kukushawishi kwa kauli na hata ishara..

sasa ukiingia mkenge na ukakubali,kitakachotokea anapanga na Mume wake naye anakufumania live

huyo Mume yeye anapendaga kukula kisamvu tu na mke anashuhudia..

yaani mtaani vijana wengi wanaliwa TIGO kimya kimya kwa kumpapatikia huyo mke wa mtuu
Hii kitu ya kumwingilia mwanamme mwenzako huwa sielewagi,watu wanaona kama jambo la kawaida,lakin binafsi naona lazima mtu anaefanya hiv nae ana vi ishara vya ushoga.Mwanamme hawezi kudisa mpaka atamani,na kutamani kumwingilia dume mwenzako kwa sababu yeyote ile ni kuvutiwa na mwanamme mwenzako, aka ushoga.
 
Wengine tu mchepuko ya kudumu ya wame za watu hata tuna sema nini sasa! !!!! Ni kusoma na kupita kimya kimya


Cc Smart911

Huu uzi mwanzo umenichekesha..ila nimeuchukia Ghafla

Liuzi hata halijabalanc .....

Ivi wanawake wa humu nikweli hamjawah kuliwa na Waume za watu???

Shushen nondo basi hapa uzi unoge
 
Story ni ndefu but in short...yupo jamaa flan alikuwa anamsumbua dem wangu kwa muda mrefu na nilimkanya sana ila siku moja nikabaini ametembea na dem wang na kwa bahati mbaya au nzuri jamaa alikuwa kaoa na mke wake aligundua.. Nikachukua muda kidogo siku moja nikakuta mke wa jamaa anachat na dem wanguu na wanajibizana na mimi apo apo nikachukua namba ya huyo mke wa jamaa nikamtafuta tukawasiliana kwa muda kama mwezi badae mke wa jamaa alibadilika na akawa anaforce tuonane sana aise nilijikuta nakula kila ninapohitaji na muda mwingine ananisumbua yeye kibaya zaidi alikuwa na mtoto mdogo tuu.....ila mpaka sasa sijui dem wangu nimfanye nin na yule jamaa nilimfata na kumchana na ushahidi nikampa aise aliumia nahisi hakuamini kua ukiua kwa upanga unakufa kwa upanga...ombi langu kwenu je uyu demu wangu nimfanyie nin??
fungua uzi wako tutakusaidia
 
Ukitembea na mke wa mtu, ujue wewe muda wote unaweza kufa.au chochote kibaya kinaweza kukuta. Unaweza chomeka mkang'ang'aniana hapo na jamaa anataka milioni 3. Mimi mke wangu nimemuweka dawa yaani jamaa mwingine akichomeka mashine tu. Haifanyi kazi milele ndiyo unakuwa hanithi hivyo. Siku ukinitafuta niirudishe ifanye kazi inabidi nikupige mashine siku nzima yaani masaa 12. Unatoa hela ya KY, Chumba cha guest na hela ya chakula, maji na ukubali kurekodiwa kipindi unapigwa show. Tofauti na hapo tusijuane
ha ha ha ha ha
 
Mwezi uliopita nilikuwa mwanza katika matembezi nikakutana na mmama anatembeza karanga za kuchemsha alikuwa ni mjaluo ana mzigo sanchoka akasome afu mweusi,nilimpita nikampa salamu ila nilipofika mbele ikabidi nigeuke alipofika mbali kidogo nilirudi nikaanza mfatilia nyuma nyuma kuanzia mitaa ya Ghana hadi karibu na nera zilipo ofisi za halmashauri,wakazi wa mwanza watakuwa wanapafahamu. Nilipomfikia nikaanza kuzuga na stori na hakuonesha kushoboka wala nini, ikabidi niingie na gia ya kununua karanga zote.kufupisha stori alinipa namba kwa sharti la kutompigia kuanzia saa 12 jioni kwani mumewe anakuwepo. Kesho yake nilimpanga tukaonana mitaa ya kilimahewa akaingia gesti na karanga zake nikala mzigo.

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
vipi ulitumia condom?
 
Mh mkuu wanyaturu,wanyeramba,warangi na wamanyara hawa wagawaji sana.
Yani ukioa hayo makabila jua umeolea kijiji ama mtaa.
Siyo kweli, Kwani Wachaga Siyo Malaya? Wanyakyusa Siyo Malaya? Wahaya Siyo Malaya? Waswahili wa Pwani Siyo Malaya? Wazungu Siyo Malaya? NA WEWE MWENYEWE SI NI MALAYA, KWANI NA WEWE NI MNYATURU, AU MNYIRAMBA AU MRANGI????

Usiongee hisia inawezekana Hao Ndo Watu uliokutana nao hujakutana na makabila mengine, KILA KABILA NA KILA MTU HUGEUKA KUWA MALAYA KWA WAKATI FLANI, NA WAKATI MWINGINE NI PREJUDICE TU AGAINST OTHER PEOPLE!
 
Back
Top Bottom