Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Bora nibakie anithi tu mse*g* wewe...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utakuwa ulilazimisha game mkuu, mtama ziba mdomo, nyanyua sijui gauni...
 
Alikua na umri gani kipindi hiko
 
Nakuhurumia cku huyo mumewe akikukodishia watu... We c unasema mumewe kimoja tu chalii nafikir cku hiyo atapona kukushughulikia kwa hasira..... Kua makini
Wanawake hawana formular kwani wapo ambao wanapewa mema yote ya nchi lakini bado wanachepuka tu. Kama mwanaume nasaka hela ili familia yangu ipate maisha bora,kama mwanamke hathamini jasho na damu yangu kwenye mishe ni kupiga chini tu.
 
Daaa dunia hii
 
Nice story. Quick question, in which language were you pursuing the PhD ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…