Wood Stone
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 647
- 1,012
Kumbe ukiona mtu kachanjwa chale unafikiri ya kuzua mkuyenge. Utakuja kupotea kimasiharaUnatutisha au? kuna waha wamechanjwa hadi kweny mkuyenge hzo dawa zako hazina maana
Mbona wa watu unakula
Noma sana!Mh mkuu wanyaturu,wanyeramba,warangi na wamanyara hawa wagawaji sana.
Yani ukioa hayo makabila jua umeolea kijiji ama mtaa.
Jamii forum wallah!Bila kusahau mwenyekiti wao ambae ni mhaya
Hatar sana!Wale K zao ni za promosheni.
Kabisaaaaa umeongea kweli m mume wa mtu namuogopa kama ukoma na nafatwaga na wanaume za watu tu sijui lini nitampata single[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Asilimia kubwa ya watu wanaokiri kuwala wake za watu hapa wanaonekana hawajaoa.Ngojeni muoe nanyie malipo duniani hapahapa
Kuna kitu tunaita loopholeKumbe ukiona mtu kachanjwa chale unafikiri ya kuzua mkuyenge. Utakuja kupotea kimasihara
Mke wa mtu ni sumu
JF,noma sana!Mi natafuta vumbi la kongo original..kuna ke wa Mchungaji ananichekea chekea ilihali mimi hata kanisa silijui ..so naomba mwenye contact la Vbi og AniPm tafadhari pia nashida sana na Khantwe
🤣🤣🤣🤣🤣 ile kibaharia kabisa.Alikuwaga jirani yangu. Siku hiyo nimekutana nae njiani kaniomba hela. Nilikuwa nayo lakini nikamwambia sijatembea na hela labda twende home ukachukue.
Alivyoingia ndani baasi kazi ikawa rahisi. Kwanza nilikuwaga namtamani muda mrefu na alivyo na chura.
Ndio maana nasema hutokua na kosa.Mikwara tu hyo haituzui wahuni kufanya yetu
Mke hajesema mi kosa langu lipi hapo
Mbona yule aliyeng'ang'ania akiwa na mke wa mtu. Kwanini alishindwa kujitoa? Uzi upo humu humu JF utafute usome. Usijekujifariji sana kwamba kwa dawa haziwezi. Unaweza kutekwa na watu wasiojulikana halafu wakakuta upo kwenye kiroba unaelea baharini.Kuna kitu tunaita loophole
Hakuna kitu kisichokuwa na udhaifu Hakuna dawa isiyokuwa na reverse yake
We jidanganye tu
JAMANI WALE "ke" UZI HUU HAUWAHUSU? Mbona hamsemi mlivyoliwa kuweni transparency
Aah kaka hao watu siyo kabisa.Noma sana!
Hayo, makabila huwa yanasingiziwa au nini???Binafsi mwaka jana mwez wa pili walikuja walimu wa field shulen, sasa kwenye kuangalia namna ya kusajili mali mpya nikaona kifaa kimoja cha kinyaturu, mtoto mkali kweli kweli, nikatupia voko akajaa, akawa anakuja geto anapika tunakula nae aliwa nikawa kama nimeoaa kabsaa
Baada ya kama miez miwil nikagundua alikuwa mke wa OCS kituo fulani na alikuwa na mtoto mmoja wa miaka miwili, nilistuka nikapiga chini fasta japo demu alijifanya kupandisha mpaka maruaniii.
Daa mpaka leo naogopa kupima umeme maana tabia za askari..
Kutembea na mke wa mtu au mume wa mtu ni hatari sana ila kwa vile roho ya uzinzi imetutawala tunaona ni mambo ya kawaida sana. Kuna kipindi kimoja cha EFM kinaitwa ripoti ya leo. Kuna mwanamke alikuwa na tamaa sana ya mali ila anatumia mwili wake kupata mali na alikuwa ameolewa na jamaa fundi gereji kama ulishawahi kusikia. Mwanamke akajikuta anatembea na boss wa mumewe, sasa mke wa boss akawa amejua mchezo mzima. Alichofanya aliwatuma watu wakamuua yule mwanamke.Kabisaaaaa umeongea kweli m mume wa mtu namuogopa kama ukoma na nafatwaga na wanaume za watu tu sijui lini nitampata single[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
ukakubali akule...? naingoja na mimi kwa hamu hiyo bahati...!Alinitongoza
Tenda utendewe🤣🤣🤣Kuna mke wa mtu kapanga home....
Kaniambia nikiwa tayari nimwambie.....
Nikimcheki mmewe basi naona hurumaa.....
Nime "like". 👍Kabisaaaaa umeongea kweli m mume wa mtu namuogopa kama ukoma na nafatwaga na wanaume za watu tu sijui lini nitampata single[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]