Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Wanawake sio ndugu zako umekosa kazi ya kufanya mpaka kumuwekea dawa unadhani hataliwa? Unadhan mfano hyo dawa uliowekea watu wakiathirika watakua na akili hizo zakujua ni wewe? Watakuja kwako ? Je akimrubuni ndugu yako? Utamaliza wanaume wangap zaid ya kuchuma dhambi hujui ufiraj na uchawi ni dhambi mbaya? Zaid hata za huyo alietafuna mke wako?
 
😁Thesis uliiandika kweli?
 
Kwani nimewaambia watembee na mke wangu? Huyo ni mke wangu nimemtolea mahari na nimemuoa na pia namhudumia. Hakuna dhambi mbaya wala nzuri. Uasherati umekatazwa kwenye dini zote ndiyo maana unashauriwa uoe kama umeshindwa kujizuia ndiyo maana waislamu wanaruhusu hata kuoa wanawake 5. Duniani tunaishi kwa kutofautiana sana. Utakuta mwizi kaiba kuku kwa jamaa, na jamaa kamkamata na akumuachia bila kumfanya kitu chochote ila mwingine atakuua. Je, bata au simu inaweza kuwa sawa na uhai wa mtu? kama siyo sawa kawanini mtu anauliwa kwa kuiba bata?
KAMA VILE WEWE UNAVYOFURAHIA SANA KUTEMBEA NA WAKE ZA WATU NA MIMI PIA NAFURAHIA SANA KUTEMBEA NA WANAUME WANAOTEMBEA NA MKE WANGU.
 
Dah
 
W
Wa vyuo vingine wanaanza tarehe 21,saa hz kama demu wako kaaga anaenda kufuatilia vitu flani chuoni,jua atapewa kampani na msela,watalala wote hadi wamalize pepa,na ikiwezekana watashauriana wapange rum kama ni continuing students.
Dem wangu?? Kwanza mimi na yeye hatukufika Chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…