MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Wanawake sio ndugu zako umekosa kazi ya kufanya mpaka kumuwekea dawa unadhani hataliwa? Unadhan mfano hyo dawa uliowekea watu wakiathirika watakua na akili hizo zakujua ni wewe? Watakuja kwako ? Je akimrubuni ndugu yako? Utamaliza wanaume wangap zaid ya kuchuma dhambi hujui ufiraj na uchawi ni dhambi mbaya? Zaid hata za huyo alietafuna mke wako?
Unafikiri Babu Seya na wanawe walifungwa kwa kosa gani? Unafikiri baba na watoto wanaweza kuwabaka watoto wote wale? na kipindi wanabakwa wale watoto walikuwa wapi? je, unaweza kuwakusanya wale watoto wote na mkaanza kuwaingilia bila majirani kujua?
- Yule jamaa wa The mafiki unafikiri aliuwawa kwa kosa gani?
Kuna watu wake zao huwa hawaliwi hata ukimla ukibainika lazima uache historia. Ni bora utembee na demu wa jamaa kuliko mke wa jamaa. Na kama umefika umri wa kuoa ni bora uoe kabisa kuliko kuanza kukimbizana na wake za watu.
MKE WA MTU SUMU