Ilikuwaje ukalala na mke wa mtu?

Ngoja ujae ndio utajua kosa ni la nani. Huyo jamaa tena ana huruma kutafuta njemba 2 mbili tu, hutafutwa njemba 5 na kuendelea, akitoka hapo ni hospital kwani kiuno na miguu vinakua havifanyi kazi.
 
Ngoja ujae ndio utajua kosa ni la nani. Huyo jamaa tena ana huruma kutafuta njemba 2 mbili tu, hutafutwa njemba 5 na kuendelea, akitoka hapo ni hospital kwani kiuno na miguu vinakua havifanyi kazi.
Sana yani.mwana ni muungwana sana,yani hadi wakamsaidia kumpeleka nyumbani kwake!!
 
Kuna kupitiwa na shetani mkuu. Shetani akikupigia wee nenda tu usiogope😂😂
 
Ulifanya dhambi 3.
1. Kumlia rafiki mke tena kwake...hii dhambi mimi nimeishinda mara nyingi😂

2. Umemchafua mke wa mtu, matumizi mabaya ya nyege😂

3. Dhamimbi ya uasherati na zinaa zote kwa pamoja
Mimi at that time nilikuwa 20 tu braza sasa kosa langu ni lipi ?
Mgeni toka jijini ?
Kuogea shower gel ?
Kunukia vizuri ?
Kuwa na simu ya Nokia 2600 ?
Sikuwa hata na lengo la kumla yule Mwanamke ila ni yeye ndio alitaka aje kulala kwenye godoro sebuleni mara anawashwa mgongoni nimkune na Mimi ni Mwanaume timamu nikajikuta nimeteleza tu.
 
Ilikuwa hivi...

Kwanza.
Alijilenhesha....

Wake za watu wanajilengesha mno
 
Mmmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…