Kale ka michezo ka kuunganisha via vya siri ulianza ukiwa na umri gan ? Chanzo chote ni simu si kingineMimi nilikuwa nafanya hivyohivyo ila nilikuwa 4 na mama hapendi hayo mambo!kwahiyo nikienda kwa bibi, my mom could have killed me😂 siku moja mama kanipitia tumeenda kanisani na mdogo wetu wa mwisho alikuwa ni wa kubeba, bado mdogo sana, akawa analia kanisani nikaambiwa nikambembeleze nje, sangapi nisiache simu kwenye kipochi kumbe yameshayajadili na mamaake kaambiwa anichunguze, asiitoe kwenye kapochi kangu aibane kwenye maziwa, tulipofika tu kwa bibi nilisemwa kama nini😭😭
😆😆😆 ile aibu unahisi wiki mzima baada ya tukioMimi nilikuwa nafanya hivyohivyo ila nilikuwa 4 na mama hapendi hayo mambo!kwahiyo nikienda kwa bibi, my mom could have killed me😂 siku moja mama kanipitia tumeenda kanisani na mdogo wetu wa mwisho alikuwa ni wa kubeba, bado mdogo sana, akawa analia kanisani nikaambiwa nikambembeleze nje, sangapi nisiache simu kwenye kipochi kumbe yameshayajadili na mamaake kaambiwa anichunguze, asiitoe kwenye kapochi kangu aibane kwenye maziwa, tulipofika tu kwa bibi nilisemwa kama nini😭😭
Nilikuwa form 5 yule mbwa mpaka kesho sitomsahau shenzi sana!!Kale ka michezo ka kuunganisha via vya siri ulianza ukiwa na umri gan ? Chanzo chote ni simu si kingine
Nilikoma, nikasemwa kwa baba, uzuri babaangu mzungu tu🫢 ila msg nilizotumiwa mama anazisoma kwa sauti nyiee😰😆😆😆 ile aibu unahisi wiki mzima baada ya tukio
DuhWewe utakua ulianza kudinywa bado mdogo sana
Nilikuwa siingii kama naingia chooni lazima niombe ruhusa na nilikuwa narudisha simu weekend sababu ndio siku ambazo wazazi wanakuwa nyumbani muda wote baba sana ni Sundaywakati huo baba yako alikuwa anaishi wapi? Maana kwa umri huo tayar ulikuwa mtu mzima chumban kwa baba na mama unafuata nini
....jibu tafadhali...
Kama mzee alitangulia mbele za hak samahani kwa swal langu
Mtoto wa kike kuingia chumba cha wazazi Mbona kawaida ila mtoto wa kiume huruhusiwi hata kuchunguliawakati huo baba yako alikuwa anaishi wapi? Maana kwa umri huo tayar ulikuwa mtu mzima chumban kwa baba na mama unafuata nini
....jibu tafadhali...
Kama mzee alitangulia mbele za hak samahani kwa swal langu
Sio mbwa , alikufungulia dunia 😊 😃Nilikuwa form 5 yule mbwa mpaka kesho sitomsahau shenzi sana!!
Ndo na kudinywa huko huko sasa.... vimeseji vya hapa na pale mara nakupenda mwisho wa siku unavuliwa pichuInahusiana nini sasa mimi simu nilikuwa nataka kutumia sana sababu marafiki zangu wengi walikuwa wanatumia hamna kingine
Nilijua ndio atanioa akaishia kunitapeli tu mshenzi sana! Kaniharibia usichana wangu😏Sio mbwa , alikufungulia dunia 😊 😃
Dah... tumfungulie kesi ya jinai ama udhalilishaji wa kijinsia ? 😊Nilijua ndio atanioa akaishia kunitapeli tu mshenzi sana! Kaniharibia usichana wangu😏
Na alinidhulumu pesa na simu yangu yule🥲Dah... tumfungulie kesi ya jinai ama udhalilishaji wa kijinsia ? 😊