Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

Enzi hizo za komborela yaani ni ile kipenzi vya kitoto tu.
Tumpe hili lilikua ngangari na kanikuta sana tuite mshangazi utotoni.
Yaani tulikua tunagalagazana popote lipige komborela si tunaenda chimbo mbali huko ni chovyachovya tu kwenye mapagale.
Za mwizi 40,siku komborela hilo tukatawanyika e bana ni vua chomeka chooni mdingi wake huyoo anafungua mlango.
Tulitoka baru tukampamia mlangoni kaanguka huko si tukalala mbere.
Kaja kushtaki kwa mshua,ikawa "we ulifananisha mtoto wangu afanyi ujinga huo"
Na mimi nashadadia" ndio mwongo huyo ananionea tu"
Kesi ikaisha.
Duh mshua kaibuka usiku tena nilikula kipondo si cha nchi hii.
Toka pale nilishika adabu.
 
Hivi hii michezo ni mimi. tu ndio nilikuwa sielewi inaendelea au sababu nilikuwa sipendi michezo wa kombolela🤣
 
Sigara vile vichungi vya sport.Babu yetu alikuwa mvutaji mzuri tu.Sasa mama katika vitu alikuwa ukitaka akuue ni pamoja na hivyo.Nilikuwa naviokota naviweka ndani .Sasa siku hiyo nimerudi nimetoka skuli form one nimevua nguo zote( niko uchi) najiangalia kwenye kioo huku navivuta kama mtu wa kwenye muvi kwa madaha.Kumbe karudi na rafiki yake wako nje wananichungulia kwenye dirisha ,navuta huku natia na mbwembe za kukata mauno.
Kufupisha tu habari mama alikuwa anatabia ya kuchapa usiku anakata net anakupaka mapilipili machoni halafu anakushughulikia vizuri.Nimechoka kusimulia.
 
Back
Top Bottom