Inawezekana bana. Amewazingua tu. Hao wanyama milioni 7 kawatoa wapi?Kisayansi...haiwezekani....
Mungu anaweza kufanya chochote beyond laws of nature. Ila kwa hili jamaa kaokota swali feki mtandaoni kalirusha huku akijua wengi hawako informed!Ila kwa MUNGU Hata vilivyobebwa ni vidogo...ingeweza kubeba inavyotaka MUNGU..sio mtu...nenda kasome story ya LWANDA MAGERE..jinsi alivyoweka lita 3000 kwenye kibuyu cha kubeba mkononi....shida yetu technologia yetu ipo low sana
Kwani cha ajabu ni kipi?Ni yale yale ya wana wa Israel kutembea kwa miaka 40 distance ya mwez mmoja
Kwanini itokee kwa Yona tu, isitokee kwa mwingine tena? Je hazina ya matendo makuu imefilisika?Ni wapi uliambiwa Samaki wamepewa kazi ya kumeza nka kutapika watu kwa siku tatu kila wakati?
Inawezekana bana. Amewazingua tu. Hao wanyama milioni 7 kawatoa wapi?
Mungu anaweza kufanya chochote beyond laws of nature. Ila kwa hili jamaa kaokota swali feki mtandaoni kalirusha huku akijua wengi hawako informed!
Wazungu ni mababa wa uwongoHiyo haipo,wazungu waliamua kutudanganya na tumekubali Mazima,
Haya nduguKawateka kirahisi kweli! Hakuna mahali Safina ilipaswa kubeba "species" zote za duniani. Mfano Mbwa pekee wana "species" nyingi sana ambazo ni variation ya Mbwa. Kwa hiyo Nuhu alipaswa kuruhusu Mbwa wawili tu na sio kila "species". Kwa hiyo suala la kubeba wanyama milioni 7+ ni swali la kupotosha.
Kwa aina za wanyama waliopaswa kuingia kwenye Safina, kwa muda ambao Safina ilikuwa inaelea, nafasi ilitosha na pengine kubakia.
So kawapiga na swali feki, mnademka nalo 🙂
Tupe summaryMbona dimensions zake zipo kwenye biblia jamani....alafu ujue alitengeneza kwa miaka 40
Ngoja nikapate maandiko natarudi kiyaweka hapaTupe summary
Sababu imewekwa wazi kwenye andiko husika kalisome na kama una nia ya kuelewa utaelewa. Mbona hata watoto wa primary huwa wanasoma na kulielewa? Unless of course lengonlako lisiwe kuelewa!Kwanini itokee kwa Yona tu, isitokee kwa mwingine tena? Je hazina ya matendo makuu imefilisika?
Soma kwa ufahamu. Hakuna mahali Biblia imesema Nuhu achukue kila "species". Kwanza hata hiyo categorization ya species ni recent and never existed back then. What's so hard to understand?
Aiseee kumbe uki argue kwa chingereza mada inakuwa tamu kihivyo. Bwana mie nina pepa yangu hapa ebu nipe contacts zako uje ukague chingereza cha pepa yangu nisije nikawa nachapi chapi.inaonekana u have a facility with wordsSoma kwa ufahamu. Hakuna mahali Biblia imesema Nuhu achukue kila "species". Kwanza hata hiyo categorization ya species ni recent and never existed back then. What's so hard to understand?
Read what the Bible says and then criticize if you wish what the Bible ACTUALLY SAYS not your strawman version of it. Go read again that verse and if you find anything to do with SPECIES then there is something to discuss. Otherwise the whole premise is a lie and smear just to make the Bible look stupid. Only gullibles get caught by such juvenile fallacious argument
Urefu aproximately 300metres upana 50 metres na ilikuwa ghora tatu ambayo floor moja approximate ni metre 7 kwa urefu.Tupe summary
Kwanini itokee kwa Yona tu, isitokee kwaNi wapi uliambiwa Samaki wamepewa kazi ya kumeza nka kutapika watu kwa siku tatu kila wakati?
Aiseee kumbe uki argue kwa chingereza mada inakuwa tamu kihivyo. Bwana mie nina pepa yangu hapa ebu nipe contacts zako uje ukague chingereza cha pepa yangu nisije nikawa nachapi chapi.inaonekana u have a facility with words
Hahahahaaa!Aiseee kumbe uki argue kwa chingereza mada inakuwa tamu kihivyo. Bwana mie nina pepa yangu hapa ebu nipe contacts zako uje ukague chingereza cha pepa yangu nisije nikawa nachapi chapi.inaonekana u have a facility with words
Unataka majibu ya Kimantiki au Kiroho?Wasalaam.
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua iliwezekanaje safina ambayo ina urefu wa futi 500 waweze kuingia wanyama wote hao? Tena na chakula chao?
Naamini jukwaani hapa kuna wajuzi wengi tutasaidiana kujadiliana.
View attachment 2084003
Haha hahahNi yale yale ya wana wa Israel kutembea kwa miaka 40 distance ya mwez mmoja
Umesoma hizo ngano za Gilgamesh au ndio yale ya kuhadithiwa na Google? Ungekuwa umeisoma usingeandika huu ujinga.Hi stori Wayahudi waliipora toka hadith ya miaka elfu tatu kabla yao ikiitwa The tales of Gilgamesh ya watu wa Mesopotamia ya kale