Iliwezekanaje safina ya Nuhu kubeba aina 7.7 million za wanyama?

Pasingekuwa na sababu ya kutunza mbegu kama lengo si kuangamiza dunia nzima. Hata kwa lutu hakutoka na kondoo wala punda kwa ajiri ya kuendeleza kizazi cha wanyama. Pia maji hayawezi tengeneza mrima. Mfano mlima wa urefu wa mita 2000 toka usawa wa bahari ufunikwe wakati mji kama dar wanakula tu bata hawana habari na wapo bara moja.
 
Huo ushadi ulioleta kwenye picha umetoka kitabu gani? Umeuliza swali nje ya vitabu ila unataka majibu ya ndani ya vitabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…