Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
moja ya hadithi ya kusisimua kwa biblia ni hii ya sodoma na gomora
Raia /wakazi wa hii mitaa walikua watenda dhambi wa kutupwa.
mapenz ya jinsia moja /ushoga kwao ilikua sio story manake walifanya na biblia imesema wazi.
unaambiwa Mungu alicheki sodoma na gomora akasema kama kuna watu 50 tu wasafi anapaacha vinginevyo atatoa adhabu kali.
nahisi alivyotizama hakuona hao watu 50 safi.yan wote ni watenda dhambi sugu
akafanya maamuzi magumu akapiga kibiriti sodoma na gomora yote ikateketea nyasi na wakazi mitaa hio wakawa majivu.
kwa kurelate na current situation ya dunia Amerika kusini ,USA na baadhi ya nchi za Uerope nazifananisha na sodoma na gomora.ya miaka hio
afrika na Asia naitoa haina sana dhambi